Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mhaya alaf anajifanyaga wa tangaMhaya .......
Hebu itafsiri kwa mtindo huo wa kudesa uibandike hapa pia....Hapana mie nimeenda kudesa maana ya diva sababu mkuu aliuliza
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] kazi kweli kweli...!!diva the boksi anapenda sana attention huyo dada. nakumbuka fb mpk walifunguaga page ya watu wasiompenda diva.
ambao hamumjui diva tafuten video ya wimbo wa Joanita-Pingu & Deso ft Blu, video queen wa mule ndio dada yetu diva a.k.a joanita kabla hajanywa maji na maendeleo ya simu zenye 720 na maeditings kibao.
Duuuhh!!!View attachment 401894
Ndo kenyewe, yaani ukimcheki kwenye ile video kama bekitatu
ngoja namie [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] live!!yan nilivyompana mpka nimeingia youtube kuona iyo video, sipendi mashauzi ya uyo dada jaman nikikuta anagombana na nyoka nitamsaidia nyoka
ruby ni mzuri tatizo ni pasi daaa kweli Mungu hakupi vyote.Baada ya Diva kudai kuwa hamfahamu Ruby, Ruby akasema anamuona Diva kama mtoto hivyo basi hawezi kubishana na mtoto
"Naona ni ujinga, i dont want to talk about it ,everybody knows me, so nahisi huo ni utoto labda tu kwa kukosa maswali ya interview aliyohojiwan ,i dont want to talk about her "
Inasemekana kwa habari zilizo chini ya kapeti ya kuwa ugomvi wa diva na ruby ni mara baada ya ruby kutokuwa na mawasiliano mazuri na clouds media na kushindwa kuhudhuria tamasha la fiesta lililofanyika mwanza August 20.
View attachment 397677
Kuna braza alimla tigo mwaka jana, usione kanajishaua kama unapesa yako kabang wala kama magimbi.
Bora ujaona picha maana uso kama bibi kizeeeI hate her although najua sauti tu hata picha sijawahi muona
Mkuu umenichekesha sanaToka Ruby aachane na Mawingu kila anacho ongea naona ni point
Kuna vijana wasio na vision walimtabiria mabaya dada wa watu kisa ameikataa fiesta,ndo nikaamini vijana wa kitanzania ni wazembe wa kufikiri,kuna redio almost 90 unawezaje kufikiri huyu bint ataporomoka?Jana nimeskia ngoma zake zikichezwa East Africa Radio na EFm, bado tu mtu anaiwazia clouds?na nimeskia matangazo ya shows zake........Mtoto wa watu amethubutu,kipaji chake yeye ila baadhi ya wajinga wanampangia.Nampa KongoleToka Ruby aachane na Mawingu kila anacho ongea naona ni point
Hili la degedege sina uhakika,ila kwa kumsikiliza ni kwamba huko Mtaa wa Upstair kuna mashimo,hakupo sawaHivi diva hajawahi kupata degedege utotoni? Kama vile akili zake sio timamu
Kiingia mjini si haramu.View attachment 401894
Ndo kenyewe, yaani ukimcheki kwenye ile video kama bekitatu
bora iwe hivyo hivyo hujawahi kumuona maana ukimuona hata sauti yake utaichukia piaUmu ata kama haupo ujumbe utaupata tu [emoji28]