Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kaolewaUmu ata kama haupo ujumbe utaupata tu [emoji28]
Hajaolewa na mashauzi yale sijuiHivi kaolewa
Diva ni nanii kwan dada anajisikia yule
Kwa iyo unaipigia debe calolite?View attachment 401894
Ndo kenyewe, yaani ukimcheki kwenye ile video kama bekitatu
Eishh, et "everybody knows me" hahahaa who ar u anyway mpaka kila MTU akujue ... Mm mwenyw simjui kwan ndo nanBaada ya Diva kudai kuwa hamfahamu Ruby, Ruby akasema anamuona Diva kama mtoto hivyo basi hawezi kubishana na mtoto
"Naona ni ujinga, i dont want to talk about it ,everybody knows me, so nahisi huo ni utoto labda tu kwa kukosa maswali ya interview aliyohojiwan ,i dont want to talk about her "
Inasemekana kwa habari zilizo chini ya kapeti ya kuwa ugomvi wa diva na ruby ni mara baada ya ruby kutokuwa na mawasiliano mazuri na clouds media na kushindwa kuhudhuria tamasha la fiesta lililofanyika mwanza August 20.
View attachment 397677
KumbeePic zake full editing yaan ni wa kawaida ila anajua kujiskia mdada yule