Ruby ampa za uso Diva

Ruby ampa za uso Diva

Diva ungekuwa nzuri sijui.....diva hana uzuri wowote.. Mie hata akivua mbele yangu siwezi kusimamishaaa
 
Hii tabia ya maisha binafsi kuyafanya ya kitaifa, yana wacost sana hawa wanao jihita wasanii
 
Msanii aliyekuwa THT Ruby akiwa anahojiwa kuhusu mtangazaji wa clouds Diva kusema kuwa hamfahamu amesema mtangazaji huyo anazeeka vibaya
Pia msanii huyo amefunguka kuhusu uhusiano wakae na radio E Fm ambao ni hasimu wa radio Clouds na kusema kuwa yeye anapokea sapoti kutoka kwenye media yoyote kwa kuwa ni msanii na anahitaji media
 
DIVA KABLS HAJAANZA KUNYWA MAJI KWENYE VIDEO YA PINGU NA DESO JOANITA HAPA.
Screenshot_2016-09-24-16-58-47.png
Screenshot_2016-09-24-17-00-18.png
Screenshot_2016-09-24-16-56-52.png
 
Kumbe ndo yule wa joanita,alikuwa wamekata ringiiii!!!!
 
Diva ana Nyodo kweli kweli halafu wa kawaida Tu ukimuona Saut yake ndo inamsaidia kupata Wanaume Wanawake wana matatizo yao wao kwa wao
 
Na wasiwasi na wana jf duuuhhh hizo reference hatari.. mpaka hiyo ngoma ya pingu na denso na mr blue.. hachomok mtu aseeeeee
 
Ruby ni mpuuzi wa mwaka wakati ameanza kujulikana baada ya diva kumpa air time katika kipindi chake cha ala za roho leo anasema anamuona kama mtoto ni mjinga huyooo
 
Nakumbuka siku ya kwanza anatambulisha ile nyimbo yake ya nayule iliyompa bichwa alikua kwenye kipindi cha ala za roho ,na aliulizwa swali moja kama amesha wahi kupigwa dushe akasema yeye ni bikra ,pia mwanaume aliekua nae mwanzo aliishia kumpiga busu tu tena la shavuni ,sasa anavyosema diva anamuona kama mtoto ni mpuuzi huyo ruby na kalikua keusi kinoma now kamepata vipodozi anajifanya anajeuri
 
Baada ya Diva kudai kuwa hamfahamu Ruby, Ruby akasema anamuona Diva kama mtoto hivyo basi hawezi kubishana na mtoto

"Naona ni ujinga, i dont want to talk about it ,everybody knows me, so nahisi huo ni utoto labda tu kwa kukosa maswali ya interview aliyohojiwan ,i dont want to talk about her "

Inasemekana kwa habari zilizo chini ya kapeti ya kuwa ugomvi wa diva na ruby ni mara baada ya ruby kutokuwa na mawasiliano mazuri na clouds media na kushindwa kuhudhuria tamasha la fiesta lililofanyika mwanza August 20.
View attachment 397677
Eishh, et "everybody knows me" hahahaa who ar u anyway mpaka kila MTU akujue ... Mm mwenyw simjui kwan ndo nan
 
Back
Top Bottom