Ruby kashapatana na Clouds Media Group?

Jurrasic Park

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2013
Posts
3,801
Reaction score
6,806
Habari za jioni

Leo 30/11/2017 wakati wa kipindi cha jahazi kinaanza nimeshituka kusikia wimbo wa Ruby_sijuti kwa mara nyingine ukipigwa redioni clous baada ya huyu mdada kupotea katika gemu

Ujumbe wa huo wimb wa rubii umenishitua kama mimi nikajiongeza kwamba,"hajutii kuifahamu CMG ameshajifunza mwenyewe(...), mto wenye mamba ndo wenye samaki(...)"

Wajuvi huyu mdada amerudi kwa boss kaa A.K.A boss ruge

nawasilisha
 
Na Mimi nimeusikia mpaka nikashtuka kama sikosei ndo ilikua burudani ( nyimbo) ya kwanza ya kipindi cha jahazi.
 
ahaaaa CMG nasikiaa wameupiga wimbo kwa bahati mbaya ila ndio hivyo wakabidi waache mpaka uishe



nataniaa
 
Bashite kawaambia wasipopiga huo wimbo atakwenda kukata mitama microphones zote pale studioni, kisha awavue mask mbele ya kamera SHALAWADU wote.
 
Kuna version mbili za huo wimbo, moja kaimba Ruby nyingine Nandy, kama wamepiga version aliyoimba Ruby it's a good news to her
 
Huo wimbo sio wa Ruby ni wa CMG halafu hiyo sauti itakuwa ni ya Nandy...
 
Kuna version mbili za huo wimbo, moja kaimba Ruby nyingine Nandy, kama wamepiga version aliyoimba Ruby it's a good news to her
Walisema kabisa ni burudani toka kwa mwanadada ruby, mimi mwenyewe nilishangaa nikajiuliza nimebadili station au? labda wameyamaliza ila itakua nafuu kwa ruby maana tulishaanza kumsahau
Huo wimbo sio wa Ruby ni wa CMG halafu hiyo sauti itakuwa ni ya Nandy...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…