Ruby kashapatana na Clouds Media Group?

Ruby kashapatana na Clouds Media Group?

Ukileta ubishi unazimwa kama taa
 
Habari za jioni

Leo 30/11/2017 wakati wa kipindi cha jahazi kinaanza nimeshituka kusikia wimbo wa Ruby_sijuti kwa mara nyingine ukipigwa redioni clous baada ya huyu mdada kupotea katika gemu

Ujumbe wa huo wimb wa rubii umenishitua kama mimi nikajiongeza kwamba,"hajutii kuifahamu CMG ameshajifunza mwenyewe(...), mto wenye mamba ndo wenye samaki(...)"

Wajuvi huyu mdada amerudi kwa boss kaa A.K.A boss ruge

nawasilisha
Hata kwenye Ala za roho ulichezwa pia, wamektaa kuwa Kaa
 
Yaani hawa wasenge wa clouds wanaovyomzungumzia huyo kaa ni kama wanajiongelea wao wenyewe, maana wenyewe wamekuwa ni mabingwa wa kubania watu ridhiki mfano walichokifanya kwa Jide, Sugu, Ruby, etc... mbwa hawa wananiboa bora Bashite aendelee kuwabana mapumbu tu nyambaf
 
Back
Top Bottom