Tetesi: Ruby na Darasa kujiunga WCB

Tetesi: Ruby na Darasa kujiunga WCB

Mtoa mada ameandika atakuwa msichana wa pili, someni vizuri wadau.
Jamani niwaambie mara ngapi?
Hivi huoni hata haiwezekani watu wawili tukasema jambo hilohilo kwa kulikosea?

Mtoa mada kaedit baada ya sisi kumkosoa.
Period
 
,we unaota ww darasa kwenda wcb darasa hajachokaa kiivo ww
 
Hizo ni tetesi!
Hajajiunga WCB unless likitoka tamko rasmi..

Alafu mkumbuke Darassa ana lebo yake CMG kwahiyo sio kitu rahisi kwake kujiunga WCB..
Alafu "usajili" WCB ulifungwa kwa muda ili kuwasukuma wasanii ambao tayari wapo.. Kwahiyo hii taarifa itabakia tu kuwa tetesi

Ruby mpaka sasa alitakiwa awe amejiunga kitambo sana! Ila kuna vitu vilikuwa havijafikiwa muafaka..

Tusubiri official announcement..
Hivi lebo Ni kitu gani
 
Naona mnajitekenya alafu mnacheka wenyewe.

Msanii mwenye akili zake timilifu hawezi kwenda ku-sign kwenye label kama ile.
 
Hizo ni tetesi!
Hajajiunga WCB unless likitoka tamko rasmi..

Alafu mkumbuke Darassa ana lebo yake CMG kwahiyo sio kitu rahisi kwake kujiunga WCB..
Alafu "usajili" WCB ulifungwa kwa muda ili kuwasukuma wasanii ambao tayari wapo.. Kwahiyo hii taarifa itabakia tu kuwa tetesi

Ruby mpaka sasa alitakiwa awe amejiunga kitambo sana! Ila kuna vitu vilikuwa havijafikiwa muafaka..

Tusubiri official announcement..
kwa hiyo ndio unataka kusemaje akijiunga WCB utafuta kauli zako za kiboya boya juu yake?!

Na hapo kuwa ana Label yake ya CMG unataka kusema ujawahi kuona msanii ana label yake huku akifanya kazi na label nyingine refer.Kanye west yupo Roc nation ya Jigga na label yake ya G.O.O.D music.

Ali Kiba anafanya kazi na Rockstar na pia yupo label Sony.

Davido ana label yake ya HKN na anapiga kazi na Sony.

Tina Savage yupo Roc Nation na yupo Mavins Record.

Siku nyingine fikiria kabla ujasema.
Asante.
 
Wachukue watu ambao bado wanasota kwenye game hao walishayoboa kwa kiasi flani watu kama harminzi na Ryvan hapo mwanzo hatukuwajualakini walivyokuja wcf vipaji vyao vikaonekanna ingekua vizuri wangaibua vipaji vipya
Mkuu cjui unawah wapi unachapia mno ni harmonize co harminzi na ni wcb co wcf
 
Haya sasa,wako wapi WCB waliomponda na kumtukana Darasa kwa hii ngoja yake mpya?

Unasema Ruby atakuwa msichana wa kwanza kujiunga WCB,Queen Darling ni mwanaume?
Afu ungejua ninavyokupenda wewe sijui ungejiskiaje
 
Bila shaka hizi habari kavujisha Hamunizi maana chinga yule hana siri.
 
Darasa.....
Hapana...
Anaonekana ana mpango wake na Hanscana... Anaonekan nia anayo , uwezo anao ni Subra tu atafika.
Anachonifuruhisha Jamaa yupo Na Director wake yule yule tangu day 2, wanahustle pamoja. Moja auze mziki mwingne auze jina. Safi sana. Nais at akivuka boda atoenda South kushoot labda aende na Hanscana wake.
 
Haya sasa,wako wapi WCB waliomponda na kumtukana Darasa kwa hii ngoja yake mpya?

Unasema Ruby atakuwa msichana wa kwanza kujiunga WCB,Queen Darling ni mwanaume?
Una uhakika amesema wa kwanza??mnakuwa mna papara za nini kukimbilia ku-comment
 
Back
Top Bottom