mzaramo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2006
- 6,371
- 5,186
Hata Jide aliwapa madongo kwenye Joto Hasira tena zile zilikuwa mbili zote kawaponda wao.Tatizo ni kuwadiss watu wasiokuwa na muda na wewe, matokeo yake anaishia kuumiza moyo wake bure..
Kama anajichoresha ki-design flani hivi...
Bora angekausha akapiga mzigo kama Jide alivyoamua kufanya mpaka Leo anafanya vizuri..
Akiwekeza kwenye kudiss hatofika mbali kwani muda mwingi ataishi na donda ndugu lisilopona na maadui zake watajua anaumia, wataishia kufurahi tu.
Hiyo ni kawaida kila mtu Ana njia zake Za kupunguza Hasira zake.
Na unasema hawana muda nae wakati nyimbo zake hawazipigi kwenye radio yao?!