Ruby Ruby, nini hiki unafanya?

Hata Jide aliwapa madongo kwenye Joto Hasira tena zile zilikuwa mbili zote kawaponda wao.

Hiyo ni kawaida kila mtu Ana njia zake Za kupunguza Hasira zake.

Na unasema hawana muda nae wakati nyimbo zake hawazipigi kwenye radio yao?!
 
Reactions: Pep

Hatimae ulio yaongea yametimia leo rasmi.
 
Pole sana Ruby,

sio kwamba Clouds wako vyema sana,

ni bali hakuna redio yenye viwango vya kushindana nacho,

kungekua na alternative ya redio,wasanii wengi wasingedhalilishwa hivi,

yaani sasa hivi wao ndio wao....

siku kituo kingine kikiibuka,hao Clouds watashangaaa jinsi watakavyotemwa.....
 
Alikimbilia E fm kuichafua clouds event za efm azina kiki clouds njaa ikawa kali clouds walivyo wabaya wakamtengeneza nandy akafukia pengo kabisa akaona isiwe kesi ruge njoo piga mzigo akatoa mzigo ukanyooshwa akarudishwa kundini
 
...teh hee hee..unaota na jua kali lote hili la saa 6 hii bibie?
..we chiboko!
 
hawa ndio manabii sio chizi tito anayesema pombe si dhambi sasa hapo anakuwa ametabri nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…