Ruby! sifa zimemponza

Muda si mrefu utaona ameangukia kwa sponsors
 
hiyo video tunaipataje mkuu,maana wewe ndio umekuja na la maana,hayo ya ruby kupanda au kushuka atajijua mwenyewe,jaribu kufanya namna inifikie na mimi mkuu kama unayo,kizuri kula na ndugu yako eti..
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Huyu binti kwa kipaji alicho nacho anaweza kufanya muziki inchi yoyote na akavuma kama akiwa na watu sahihi nyuma yake, hato huyo Ruge hakukitendea haki kipaji cha huyu binti.
Tuone kwanza uwezo wake wa kutunga maana nyimbo zote katungiwa
 
Nina ukakika 100% hujawahi hata kumuona kwa sura achilia mbali kumjua.Utasemaje mtu ana roho mbaya wakati hakuna chochote kinachowaunganisha?
Anamjua kwa kusikia na kumuona kwenye TV... utashangaa hapo anasifia roho mbaya ya mtu wakati hajawahi kukaa nae hata umbali wa 500 between them...!! Uliza hapo yeye binafsi, ama ndugu yake, rafiki yake au hata jamaa yake yeyote amefanywa nini na Ruge.. hana jibu... kwavile tu amesikia JF!!
 

kumbe ruby kamsotesha had fella.....
 
Me nlidhan tungesema anajitambua that kakataa kunyonywa na mabepari uchwara eti tunamponda daaah kuwa mbongo inataka moyo sana.
 
Me nlidhan tungesema anajitambua that kakataa kunyonywa na mabepari uchwara eti tunamponda daaah kuwa mbongo inataka moyo sana.
Umesoma ukaelewa nilichoandika lakini?
 
Tuone kwanza uwezo wake wa kutunga maana nyimbo zote katungiwa
Swala la kutunga sio hoja kuu katika muziki, hata Michael Jackson kuna nyibo kadhaa alitungiwa enzi za uhai wake.Na wenye vipaji vya uandishi wa mashairi ya muziki sio Ruge peke yake.
 
Mazoea mabaya ndio maana unaona hivi
Mimi naamini kwa kipaji cha Ruby hata aende kufanya kazi popote nje ya tanzania,so long as atakuwa na management nzuri atafanikiwa. Mtu unayejitambua na kujiamini hauwezi kuvumilia unyonywe kwa hofu ya kuangushwa career yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…