Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaa.....kama hakuvutii, ujue hajaumbwa rasmi kwa ajili yako mkuu......mwenzio ana mchumba alomvutia.....Ana kipaji, ndio! Ana sauti nzuri, ndio! Sema hapo kwenye mvuto naona unatuingiza Chaka. Au unatania Tu?
Alikufanyaje mkuu??Ruge ana roho mbaya sana
Kivipi???????Ruge ana roho mbaya sana
Kwahyo Ruby ndiye nwenye shida? Alishasajiliwa fiesta mara ghafla akajitoa mbona hutuambii kilitokea nini?akitokea THT ni binti mnyange aliyetikisa anga la muziki wa bongo fleva mwaka uliopita..![]()
Ana kipaji
Ana mvuto
Ana sauti
Lakini akakosa miongozo sahihi...utoto na pengine ulimbukeni wa kuwa maarufu ghafla kutokana na tungo zake tamu vilimchanganya hata kufikia kujiona kuwa sikio lake ni kubwa kuliko kichwa
Taratibu akaanza dharau na nyodo, akawadharau hata wadau muhimu kwenye industry, akatema bazoka kwa njugu za kuonjeshwa
Sasa Ruby wa mwaka jana si wa mwaka huu! Si habari tena, wengi wamepotea kwa njia hii list ni ndefu sana na hii yote imetokana na kujikweza na kulewa sifa haraka sana kabla ya mafanikio![]()
binamu simu yako imekufa tachi karekebishe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] maana si kwa michapio hiiMwenzie jide Ana pesa na Ana mashabiki pamoja na watu wazito waliomzunguka mwenzangu na mie hata rafik na diwani hana anataka kupambas na clouds
Mziki wa bongo upo chini ya fella,Tale na Ruge sasa huyu dada anagombana na 2 kati yao..pumbav tumsahau tuHilo jina la RUBY lenyewe alipewa na RUGE Mutahaba,akaandikiwa nyimbo zote kasoro WALEWALE...
Aliandikiwa mashairi yote na Ruge,kuanzia na NA YULE,FOREVER.
Safari yake ya muziki ilianzia FIESTA kwenye shindano la SUPER NYOTA kule MWANZA...Angeondoka kistaarabu clouds mboa Ruge angemuelewa tu?!Nyodo zinampoza
Nakumbuka hata Mkubwa Fella alipata kusema juu ya nyodo za Ruby,kwenye video ya SU aliyoshirikishwa na YAMOTO BAND,miezi miwili anawazungusha kushoot video..mpaka Yamoto ikabidi wamtafute dada mwingine tofauti na Ruby ndio akashoot kipande cha Ruby..anadharau sana Ruby
Kuondoka clouds siyo yeye wa kwanza ameondoka,angeondoka kwa ustaarabu basi na akapata baraka kwa waliomsaidia,lakini Ruby ameondoka kwa kutoa kashfa kubwa Clouds kisa jeuri ya EFM!!
Ngoja aisome namba sasa..
Kweli kabisa mkuu umenena kwa kipaji cha barnaba alitakiwa awe na mafanikio zaidi ya aliyonayo sasa..... uzuri ni kwamba barnaba mwenyewe amejitambua anajituma sana na anakubalika bila hata influence ya mawingu otherwise angekuwa ametumika na kupotea kabisa... Ni mtazamo tuMkuu ukiisikiliza ile nyimbo ya ruby 'wale wale' utagundua ruby yupo sahihi kuchukua maamuzi Yale sema hakufanya wakati sahihi
Kama kweli clouds wana jali maslahi ya wasanii mbona barnaba mafanikio hayaendani na kipaji na recho je ndo maana ruby kuna mstari anasema
'ATAKUPA UNACHOTAKA AKUTUMIE ANAVYOTAKA
MUNGU MTU '
Ruby ameikimbia clouds kwasababu wanajali umaarufu kuliko pesa aliogopa ya lina recho amini na barnaba
Wanakufanya uwe maarufu lakini mfukoni njaaa imetawala
Go go ruby
Nina ukakika 100% hujawahi hata kumuona kwa sura achilia mbali kumjua.Utasemaje mtu ana roho mbaya wakati hakuna chochote kinachowaunganisha?Ruge ana roho mbaya sana