Vhagar
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,550
- 39,949
unamwiga jide ataweza. hivi akisema aandae show ya peke yake yeye ndo kama msanii mkuu ataweza.
haukua mda sahihi wa yeye kuleta kiburi.
angejifunza kwa dogo janja. alileta jeuri mwisho wa siku aligundua kakosea wapi akarekebisha sasa hivi anakula matunda.