Ruby! sifa zimemponza

 
Mimi huwa nafikiria kama mimi ndio ningekuwa Ruge au mtu yoyote angekuwa Ruge tena mwanaume kamili kweli angekubali kuwatengenezea watu mkwanja na yeye asilambe hata kdogo, au watu waendeshe magari na yeye atembee kwa mguu, awatengenezee majina mabinti tusiowajua hadi kujilikana Tanzania nzima asile hata papuchi za hawa mabinti zikiwa za moto ziliwe na viongozi, mapedeshee na wauza sura wa mjini pekee...Nikifikiria haya mambo huwa simlaumu Ruge nafikiri anapaswa kupongezwa kwa kuiona fursa na kuyafanya maisha yake yawe rahisi mno.
 
hiyo video tunaipataje mkuu,maana wewe ndio umekuja na la maana,hayo ya ruby kupanda au kushuka atajijua mwenyewe,jaribu kufanya namna inifikie na mimi mkuu kama unayo,kizuri kula na ndugu yako eti..
Nam naisubiria kwa hamu kubwa
 
Huyu binti kwa kipaji alicho nacho anaweza kufanya muziki inchi yoyote na akavuma kama akiwa na watu sahihi nyuma yake, hato huyo Ruge hakukitendea haki kipaji cha huyu binti.
Ruge aliishia hapo nayeye aendekeze kipaji chake mwenyewe asilaumu tuu kwan Ruge ni Mungu wake?
 
Ruge aliishia hapo nayeye aendekeze kipaji chake mwenyewe asilaumu tuu kwan Ruge ni Mungu wake?
Kwani amelalamika kutandewa visivyo akiwa mbali nae au akiwa chini yake mkuu? Huyu binti ana haki ya kufaulu maisha kama ilivyo kwako wewe na mtu mwingine yeyote.Changamoto alizozipitia anazijua yeye na ex bosi wake.
 
Kwa muonekano huo anayesema hana mvuto ashike adabu yake ! Kama mmeshazoea kugegeda malaika kivyenu ila kwa binadamu wenzetu yuko poa sana anatia genye 500%!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ruby ndo basi tena..... ukiachana na jide komando , Kwa muziki wa tz msanii akizinguana na ruge basi ashapotea, kama ni kipaji cha kuimba hata kina rama dee wanaimba tena sana tu ila walipozinguana na kinaruge ndo bye bye ,,Ruby pole sana
 
Naomba number yake katoto hako mhhhh ka chura kake katamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…