Mastamind
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 1,304
- 830
Rugez RemoteMshana, account yako inatumiwa na ruge, au ww ni ruge?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rugez RemoteMshana, account yako inatumiwa na ruge, au ww ni ruge?
akitokea THT ni binti mnyange aliyetikisa anga la muziki wa bongo fleva mwaka uliopita..![]()
Ana kipaji
Ana mvuto
Ana sauti
Lakini akakosa miongozo sahihi...utoto na pengine ulimbukeni wa kuwa maarufu ghafla kutokana na tungo zake tamu vilimchanganya hata kufikia kujiona kuwa sikio lake ni kubwa kuliko kichwa
Taratibu akaanza dharau na nyodo, akawadharau hata wadau muhimu kwenye industry, akatema bazoka kwa njugu za kuonjeshwa
Sasa Ruby wa mwaka jana si wa mwaka huu! Si habari tena, wengi wamepotea kwa njia hii list ni ndefu sana na hii yote imetokana na kujikweza na kulewa sifa haraka sana kabla ya mafanikio![]()
Waliosoma Wamejfunza Kwani? Unaweza ukasoma usijue umejfunza nin?ukisoma haujifunzi?
Nam naisubiria kwa hamu kubwahiyo video tunaipataje mkuu,maana wewe ndio umekuja na la maana,hayo ya ruby kupanda au kushuka atajijua mwenyewe,jaribu kufanya namna inifikie na mimi mkuu kama unayo,kizuri kula na ndugu yako eti..
Ruge aliishia hapo nayeye aendekeze kipaji chake mwenyewe asilaumu tuu kwan Ruge ni Mungu wake?Huyu binti kwa kipaji alicho nacho anaweza kufanya muziki inchi yoyote na akavuma kama akiwa na watu sahihi nyuma yake, hato huyo Ruge hakukitendea haki kipaji cha huyu binti.
Kwani amelalamika kutandewa visivyo akiwa mbali nae au akiwa chini yake mkuu? Huyu binti ana haki ya kufaulu maisha kama ilivyo kwako wewe na mtu mwingine yeyote.Changamoto alizozipitia anazijua yeye na ex bosi wake.Ruge aliishia hapo nayeye aendekeze kipaji chake mwenyewe asilaumu tuu kwan Ruge ni Mungu wake?
Kwa muonekano huo anayesema hana mvuto ashike adabu yake ! Kama mmeshazoea kugegeda malaika kivyenu ila kwa binadamu wenzetu yuko poa sana anatia genye 500%!Mkuu wewe unaona Hana mvuto lakini wengine wanamwelewa hii ni moja ya picha yake akiwa kwenye vazi la ufukweni!![]()
Jamaniii warumi upo nyonyo?Mwenzie jide Ana pesa na Ana mashabiki pamoja na watu wazito waliomzunguka mwenzangu na mie hata rafik na diwani hana anataka kupambas na clouds
hhahahahahahahaMshana, account yako inatumiwa na ruge, au ww ni ruge?