Ruby yenye thamani ya bil 276 ilisafirishwa kimagendo huko Dubai? Serikali haina taarifa ilifikaje

Ruby yenye thamani ya bil 276 ilisafirishwa kimagendo huko Dubai? Serikali haina taarifa ilifikaje

Shamba la bibi..ukipata gap piga...mana wanao hubiri uzalendo ndio vinara wa upigaji.

#MaendeleoHayanaChama
Ebu piga kuku mmoja wa 20, 000/= au Million 1 uone kama hutaozea jela hadi tukusahau [emoji3526]

Akina flani wanaopiga mabilioni ya pesa ndiyo mashujaa kwenye hii ardhi yani wanapeta tu mitaani [emoji28]
 
Nenda mpwapwa sasa hayo madini yalipo ni masikini wa kutupwa hata barabara ya lsmi tu hakuna, maji shida, madaraja shida. Na haya yote shida zote ni mjini;....hujazama ndichi huko inahuzunisha sana.
 
15 April 2022

WAZIRI DKT. BITEKO - ATOA ONYO KALI, WANAOPELEKA MADINI SOKONI WASISUMBULIWE




Source : DARMPYA TV
 
Mama sio Simba wa yuda, waacheni walambe asali nchi ishafunguka.

Tutakao umia sisis tunaoitwa sukuma gang na wenzetu wanaoishi Burundi.
 
Mbona hii ajabu sasa, madini ya pesa ndefu kama hii yalichimbwa hapa nchini kwetu na kusafirishwa Dubai bila mamlaka za serikali kufahamu?
Utata rubi ya Tanzania inayopigwa mnada Dubai Utata rubi ya Tanzania inayopigwa mnada Dubai
Hii Nchi yetu nayo iangalie makodi Kodi kwenye madini yetu maana mengi yanatoroshwa ..

Wafanyabiashara wanasema Tzn kuna Bei ndogo kuliko Nchi jirani na shida ni kwamba wanunuzi wengi hawaji kwa sababu Kuna mlundikano wa Kodi nk ndio maana wanatorosha..

Kiukweli hata mimi imenisikitisha kwa sababu tumekosa mapato hapo.
 
Hii nchi bila kutoa mifano kwa kunyonga watu na kufilisi watu hawawez badilika
Sasa imagine mtu anatengeneza kampuni ya mchongo,anaipa Kazi waliyoweka bei mara 3 zaidi ,baada ya hapo wakipata tenda ,wanauza kwa mjenzi afu wao wanapiga pesa.

Watu wamepiga bil.64 za bure kutoka 104-40=64..

Kwa staili hii unategemea nini? Hapo Mwendazake alikuwepo pamoja na kufoka kote.
 
Tunachokifanya kwenye dhahabu huku kanda ya ziwa ni kufuru tupu...
Binafsi nilianza kwa woga ila kwa maneno ya shombo ya Hangaya dhidi ya hayati JPM ambaye alitujengea masoko ya kuuza madini yetu hata kama una gram moja tu ya dhahabu, acha tuendelee kupeleka mzigo Uganda na Kenya!

Jamani acha tufaidi matunda ya nchi kufunguliwa, ndoto za nchi kujitegemea zimezimwa ghafla!
 
Hilo ni jiwe dogo Sana ukilinganisha na mawe Yaliyomo nchini ya ruby
 
Sasa imagine mtu anatengeneza kampuni ya mchongo,anaipa Kazi waliyoweka bei mara 3 zaidi ,baada ya hapo wakipata tenda ,wanauza kwa mjenzi afu wao wanapiga pesa.

Watu wamepiga bil.64 za bure kutoka 104-40=64..

Kwa staili hii unategemea nini? Hapo Mwendazake alikuwepo pamoja na kufoka kote.

Mwendazake alikuwa bize kuuwa upinzani, wenzake walikuwa bize kuiba nchi
 
Watu wanakula sana hela za nchi hii. Nashangaa sana watanzania tunavyowachekea.
 
Dokumentari Zoezi rahisi la Kuongeza thamani ya vito ghafi ili mchimbaji na nchi wote kunufaika


Australian Sapphires: Follow a gem from the mine all the way to finished jewellery.



Join gemmologist and geologist Charles Lawson as he investigates the fascinating story of how a sapphire is mined in Rubyvale, Queensland, how it is cut and polished and finally set into a finished piece of jewellery. Special thanks go out to the Tiffany & Co. Foundation, the University of Queensland, the University of Delaware Rubyvale Gem Gallery and Lawson Gems for supporting the making of this film.

Source : Charles Lawson
 
08 April 2020

The Tanzanite Story



Join JTV in learning about tanzanite, the deep violet-blue gemstone that is 1,000 times rarer than diamond, and it is only found in a 4.3 mile stretch of land near the Mererani Hills of northern Tanzania. This gorgeous gem is also extremely young in the gemstone world, as tanzanite was discovered in 1967 and desired by many since. Find out its origin, history, gemological traits, value and learn the tanzanite story.

Source : JTV Live Now
 
Nadhani waziri afanye reference hapa je hizi tani zote zilikaguliwa kuangalia ubora wa mawe au yalijazwa kwenye container na kusafirishwa. Tuwe makini tunapo toa matamko tunaweza kutoa tuhuma kwamba watu wametorosha kumbe ni uzembe wa watendaji wakapelekea hiyo pesa kupotea hivyo kama waziri alijiridhisha kwamba hilo jiwe halikuwepo kwenye mzigo tuliosafirisha november hapo anahaki ya kusema mawe yalitoroshwa lakini kama hana hakika akae kimya tu
54C1E16B-F603-4258-B6CB-17096A89630C.png
 
Tutapigwa sana vile tunasubiri viongozi ndio waamue hatma zetu
 
Back
Top Bottom