Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Mzungu hawezi ruhusu hii kitu bwashee...tupate uelewa kwenye madini ili tuanze kusumbua tena.Kufika siyo hoja kubwa, suala ni wachimbaji wazawa na serikali kujua thamani ya madini.
Elimu hii ni adimu na muhimu sana inatakiwa wachimbaji wazawa na watu wote waliopo ktk mnyororo wa madini yanapopita kuifahamu vyema na ndipo nchi na mwenye mgodi atapata value for money "halali" ya soko la dunia katika kila hatua ya soko.
SimuJanja, vituo vya televisheni kama TBC kurusha vipindi maalum vinavyozungumzia sekta ya madini aina za madini, uchimbaji , kuongeza thamani na bei za soko la dunia kila baada ya saa 24 n.k vingeongeza uelewa wa wachimbaji, wauza na wanunuzi wa ndani thamani ya Vito hivyo na hivyo kama somo la uraia wananchi wangeelewa umuhimu na thamani ya madini mbalimbali bila kusahau kujipatia faida sahihi ya soko.
The rough Ruby, mined from the Central Tanzanian village of Winza, Mpwapwa Dodoma[emoji848][emoji24][emoji2827]Rare 8,400 carat rough ruby lands in Dubai for auction, estimated at $120 million
Tala Michel Issa, Al Arabiya English
Published: 12 April ,2022: 11:54 AM GSTUpdated: 12 April ,2022: 12:02 PM GST
One of the world’s biggest rough rubies has landed in Dubai to mark the launch of the new Callisto Collection by SJ Gold and Diamond, the Swiss firm said in a statement on Tuesday.
The rough Ruby, mined from the Central Tanzanian village of Winza, Mpwapwa Dodoma will make its first public appearance in the market at the Waldorf Astoria in Dubai Financial Center (DIFC) on Friday.
SJ Gold and Diamond, established in Dubai since 2017, will display the record-breaking rough ruby gem called ‘Burj al-Hamal,’ or ‘Aries’ in English.
After the holy month of Ramadan, the Ruby will be auctioned off to buyers in the United Arab Emirates. The rare gem has been estimated to go for a minimum of $120 million.
Weighing in at a whopping 8,400 carats and 2.8 kilograms in weight, the Burj al-Hamal will be unveiled by the event’s guest of honor and the renowned Hollywood actor, Tamer Hassan.
“The launch of the Callisto collection in Dubai represents a groundbreaking moment for the company in its journey to becoming one of the world's leading Metal and Mineral Asset Management Firm, managing a total of 4 billion dollars in assets, ranging from exclusive gemstones and gold,” said SJ Gold and Diamond Managing Director Patrick Pilati.
“This is the first time we are introducing our crown jewel of the collection. Unveiling this one-of-a-kind stone to the public for bidding, is a clear continuation of our dedication to showcasing the best of the best in the UAE,” added Pilati.
The Callisto collection, named after the famous Arcadian Nymph of Greek Mythology, includes millions worth of hand-picked white and yellow cut and uncut diamonds along with the 12 unique rubies, weighing 236,000 carats.
Each rough ruby, coming in diverse sizes, will be featured in the Callisto collection’s logo, tethered together with gold lines to form the collection’s very own constellation
Source : Rare 8,400 carat rough ruby lands in Dubai for auction, estimated at $120 million
Amalizie kipindi chake cha mpito atoke zake huko, huu upuuzi ukilelewa utatuletea hasara kubwa. Tatizo la kuwapa uongozi watu majizi ndio matokeo yake hayo. NonsenseMbona bado, chini ya huyu Mmakunduchi nchi italiwa mpaka basi
Cha bure shikamoo tu.Mlivyotangazwa bure Dubai mlitegemea nini? Hakuna cha bure
The rough Ruby, mined from the Central Tanzanian village of Winza, Mpwapwa Dodoma will make its first public appearance in the market at the Waldorf Astoria in Dubai Financial Center (DIFC) on Friday.
Mbona wanasema ina kilo 2.8?Kilo moja ya rubby inauzwa TZS billion 657
CONVERSION OF CARAT TO GRAMS
1 carat = 0.20 grams
Therefore 8400 carats -=420 grams= 0.42 kg
Hii rubby haifiki hata nusu kilo, lakini bei yake ni billion 276. Kwa hiyo kilo moja ya rubby inauzwa billion 657
Kwani imeshathibitika kuwa imekwenda huko kipindi yeye akiwa madarakani?Amalizie kipindi chake cha mpito atoke zake huko, huu upuuzi ukilelewa utatuletea hasara kubwa. Tatizo la kuwapa uongozi watu majizi ndio matokeo yake hayo. Nonsense
Ndiye huyo.Ndio nani huyo?
Mbona hii ajabu sasa, madini ya pesa ndefu kama hii yalichimbwa hapa nchini kwetu na kusafirishwa Dubai