RUCO waambiwa wawe wavumilivu bodi ya mikopo haina fedha

RUCO waambiwa wawe wavumilivu bodi ya mikopo haina fedha

Lenin V.I.U

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2014
Posts
218
Reaction score
62
Katika hali ya kusikitisha wanafunzi wa Ruaha University mkoani Iringa wameambiwa wawe wavumilivu kuhusu `boom' kwani bodi ya mikopo kwa sara haina fedha. hata hvyo ni UDSM pekee ndio wamepata fedha kwa kuhofia maandamano. matawi yote ya SAUT hali ni mbaya zaid kwa wanafunzi wake
 
Hata hapa Teofilo kisanji university hali ni tete maana hata wanafunzi wanalia njaa, serikali imekaa kimya
 
Ishu siyo kwamba serikali haina hela, utafiti unaonyesha ruco na st. Augustine kwa ujumla imejaa chadema tupu. Habari toka chemba inasema hata kwenye kupanga walimu vituo vya kazi, st. Augustine na ruco wengi wamepangwa interior sana ukilinganisha na udsm na branch zake kama mkwawa na duce.

Sasa hivi ni mwendo wa kukomoana
 
ya kizamani hy hawana pesa wakati udsm wamepewa na dit na juzi tuu cbe wamesaini wanasubiri pesa zao ndani ya siku mbili tatu
 
UDSM wameshapewa tangia last week baada ya kutishia kunji kama ni siasa inatumika waache kukomoa wanafunzi
 
kwa upande wa st.agustine of hippo.nina maanisha tawi ta mwuce,vijana wameendelea kuwa na madenimadeni kutoka kwa in service ambao wanaendelea kula bata na kamshara kao ka kila mwezi,ila kusema kweli hali ya wanachuo mwuce sio mbaya sana cos inservice wana upendo sana.SUBIRA YA VUTA KHERI,PIA KIMYA KINGI KINA MSHINDO MKUBWA,MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU IBARIKI HESLB,
 
Back
Top Bottom