kapikita
Senior Member
- Jun 8, 2014
- 131
- 74
nimekusoma Kaka,vyumba vp vyumba vya nje bei tunaweza kumudu wa hali ya chini
vyumba bora ni kuanzia 30000
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimekusoma Kaka,vyumba vp vyumba vya nje bei tunaweza kumudu wa hali ya chini
changamotto kuu n barid, warembo na mabitoz wamo. huduma za kijamii zpo. tumezungukwa na vyuo kibao mf mkwawa, tumaini/iringa muccobs, open na colleji kibao za diploma so uhakika wa warembo upo na mabishoo kama mimi tupo. chuo kipo mjini kabisa. club na sehem nyingne za kujimwaga n ww tuu ila uwe makin hii mitaa ndo inayoongoza kwa ngoma so kama unapenda nyapu kama mm asee jiangalie mara mbili mbili. pia uvaaji ni changamotto kubwa vpedo cjui vdudu gan kama ww ni demu viweke mbali na surual sjui nn tight uavivaa ukiwa nje ya chuo tuu. maana chuo kinaongozwa na mapadre kama kinavyoitwa catholic. pia uwe tuu na pesa zako kiasi za kuvinjari. hostel zpo sehem za chuon, kichangan na ganglonga. ni hayo tuu ila naomba ukija nikupokee mm huku mwenyeji. niletee na zawad ww mdada/mkaka.yes,nami nimechaguliwa huko na nmeangalia picha mbalimbali za chuo nimerizika na mazingira yake labda kama kuna mtu anaweza kutuambia changamoto za pale ili tujipange
pamoja mdau shkrani umewaambia. umemaliza mwaka gan mm pia penda totoz naanza mwaka huu paleCha kuwakumbusha kiwango cha maambukizi ni kikubwa mno Iringa hivo kinga muhimu wapo wengi tuliondoka wameshaumia na wengine washatangulia mbele za haki kwa Ukimwi, mazingira ya Iringa yako poa na wenyeji wa Iringa ni wakarimu sana sijapata kuona na kingine zaidi budget muhimu sana maana hua wanafunzi inakua balaa kwenye maish watu wanakula hadi hela ya chakula wanakosa ndio pale mabinti tulikua tunawala kwa plate za wali samaki pale cafeteria lunch na mzigo unachukua
Nashkur kW michango yen...nahic kuona mwanga niendapo
nashukuru xana wakubwa kwa nasaha zenu xaxa naamn rucu kwel kuna wa2 walioelimika tofauti na vyuo vingine ambapo mwaka wa pil na watatu huwakatsha tamaa first year.thank you brothers and sisters wale basket ballers tutakuwa pamoja tujenge afya,tunawategemea sana wakubwa wetu mtuonyeshe njia kidogo
ila wadau kama mtapata prospectus ya RuCu kweny web or anyway tushituan
Tumelala sana wadau,tupeane mpya zilizojil
Vipi kak,cafeteria na vyumba nije ya chuo shngp by guessn!?
Cafeteria ipo vema tu,chakula unapata kwa kiasi cha pesa uliyonayo,thn kuna cafeteria za nje zina huduma nzuri tu,kama ni mwaminifu kwa maisha ya uanafunzi uishiwa pesa,wanaweza kukupa chakula kwa mtindo wa bill...vyuma vya nje vipo, ila unatakiwa kuwahi kuja kutafuta chumba,maana ki ukweli hostel hazina uwezo wa kubeba wanafunzi wote,sema uwa kuna priority kwa first year japo c sana,walemavu,n.k,na bei ya vymba nje ni kuanzia elfu 20,25,30,35,40,45,50 n.k ni wewe tuunataka rum ya aina gani. Welcome RUCU,