Rudiger aagiza posho zake za Kombe la Dunia zisaidie matibabu ya watoto

Rudiger aagiza posho zake za Kombe la Dunia zisaidie matibabu ya watoto

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
1668531162128.png

Beki wa Real Madrid na Timu ya Taifa ya Ujerumani, Antonio Rudiger ameanza kampeni za mashindano ya kombe la dunia kwa staili ya kipekee, baada ya kuagiza fedha zote atakazolipwa Kombe la Dunia ziende kwa watato wenye mahitaji.

Kundi la watoto 11 wenye mahitaji, wanaoishi nchini Sierre Leone watanufaika na msaada huo.

Kwa ushirikiano na shirika la misaada la Ujerumani BigShoe, kama alivyofanya Januari mwaka jana, beki huyo wa Real Madrid amefadhili mfululizo wa matibabu gharama kubwa na muhimu zaidi ya kubadilisha maisha ya watoto.

1668531216087.png

=======================

In cooperation with the German aid organisation BigShoe, and as he did last January, the Real Madrid defender has financed a series of extremely complex, expensive and, most importantly, life-changing treatments for the children.

Rudiger's connection with his Sierra Leone home
In this case, the young patients come from Lunsar, a town in Rudiger's second home, Sierra Leone, where his mother Lily is from, and they suffer mainly from congenital club feet.

This issue greatly affects the children's lives, not only because of the obvious physical problems, but also because these disabilities are highly stigmatised socially in Sierra Leone.

Not only are patients forced to rely on crutches for the rest of their lives, but they also become socially isolated, suffer bullying at school and have little chance of getting a job and leading a normal life afterwards.

"It hurts to see the circumstances in which children in Sierra Leone are growing up," explained Rudiger, who is happy when he receives the news that the operations have gone well.

"During surgery, the misalignment is corrected before the patients are finally able to walk and participate in social life, after several months of follow-up treatment."

Rudiger is clear that this kind of help is the least he can do because of his privileged position in society thanks to football.

"I have been given opportunities in Germany that many people in Sierra Leone are denied," he said.

"I am grateful for these opportunities and I greatly appreciate the privileged situation I am in.

"Helping here is a matter of honor for me. I would like to implement many more projects in Sierra Leone with my family in the future."

Rudiger is a charitable man
Rudiger is not only helping in Sierra Leone. In Germany, he is involved in a great deal of social work, and in London he was a regular at children's hospitals, where he had to say some emotional farewells when he decided to swap Chelsea for Real Madrid.

Aside from operations, the Real Madrid player sent a multitude of shirts to Sierra Leone to cheer up the children after their often extremely painful surgeries.

He has also laid the groundwork for the Antonio Rudiger Foundation for Sierra Leone to open next year, with which he intends to be even more active in helping the country where his mother was born.
 

Attachments

  • 1668531231688.png
    1668531231688.png
    163 KB · Views: 4
Mungu ambariki Sana na kipaji chake kiendelee kuwa juu amuepushe na majeruhi

Huku kwetu baadh wanajenga nyumba za ibada nasikia huku wanaoenda ibadan wakiwa wagonjwa na njaa
 
Watoto wote kwenye picha wamefunga bandage, ina uhusiano gani na msaada wa Rudiger?
 
Hii ni aibu kwa nchi za kiafrica , yaani serikali zao haziwezi kuhudumu afya za watoto !
 
izo fedha zinakuja Africa mai frend zitapigwa izo huyo mchezaji hataamini mamcho yake.
 
Watoto wote kwenye picha wamefunga bandage, ina uhusiano gani na msaada wa Rudiger?
Naona lugha ya malkia ni tatizo, au hujasoma maelezo!! Watoto hao wana ulemavu wa kuzaliwa kwenye miguu lakini hufanyiwa upasuaji na kurekebishwa! Gharama ya urekebishaji huo ndio jamaa atakuwa analipia!!
 
Back
Top Bottom