RUDN Yatambua Tanzania: Uhusiano Imara wa Kielimu

RUDN Yatambua Tanzania: Uhusiano Imara wa Kielimu

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
RUDN University inajulikana kimataifa kama Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi. Kilianzishwa kwa lengo la kusomesha wanafunzi kutoka nchi zinazoendelea duniani kote. Kwa Tanzania kutambuliwa na chuo hiki kikuu ni ishara ya nguvu ya uhusiano wetu wa kielimu na Urusi uliojengwa kwa miongo mingi. #SamiaKaziniUrusi TanzaniaInaSongaMbele
IMG-20260604-WA0104.jpg
 
RUDN University inajulikana kimataifa kama Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi. Kilianzishwa kwa lengo la kusomesha wanafunzi kutoka nchi zinazoendelea duniani kote. Kwa Tanzania kutambuliwa na chuo hiki kikuu ni ishara ya nguvu ya uhusiano wetu wa kielimu na Urusi uliojengwa kwa miongo mingi. #SamiaKaziniUrusi TanzaniaInaSongaMbeleView attachment 3601401
Screenshot_20260520-120305~2.png
Screenshot_20260604-133242~2.png
 
Wazibe gap la ufadhili litakaloachwa na USA,EU na Uingereza!!😀
 
Sema mademu wa Russia huwa wa 🔥🔥 , inabidi tuimarishe mahusiano zaidi
 
Back
Top Bottom