Uchaguzi 2020 Rufaa 557 za Tume ya Uchaguzi, tunataka Matokeo

Msulibasi

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2014
Posts
5,947
Reaction score
7,939
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imekiri kupoke rufaa za wagombea nafasi ya ubunge na udiwani zipatazo 557. Tume iliahidi kuanza kuzifanyia kazi kuanzia tarehe moja mwezi wa tisa na kutoa majibu japo hatujasikia jibu kwa mkata rufaa hata mmoja.

Kwakuwa kampeni zimeanza kushika kasi tungependa kupata majibu ili wagombea waweze kujipanga Kama wameshinda rufaa zao. Ikiwezwkana tume itoe matokeo ya Kila rufaa iliyotolewa uamuzi bila kusubiri zoote 557 zikamilike.

Kuchelewesha rufaa kutahesabika Kama mbinu za kupima hali ya ushindani ili kujua rufaa ipi ikubaliwe na ipii ikataliwe. Hapa NEC itakuwa sehemu ya siasa. Chondechonde vyama visijisahau virudi kutazama namna ya kushinikiza mapitio ya hizo rufaa.

Sidhani Kama rufaa zote zinahitaji muda mrefu kujadiliwa ukizingatia sababu zilizotolewa na wasimamizi kuwaengua wagombea.

NEC isije kujifungia ofisini ikipanga Nani awe mbunge na nani asiwe. Nafasi 557 nyingi sana . Ukiengua hata nusu tu itakuwa umehujumu uchaguzi kwa kiwango kikubwa.

Sisi wananchi tungependa majina yarudi na kuturudishia haki yetu ya kuchagua badala ya NEC kutuchagulia kwa kivuli Cha ameandika herufi kubwa badala ya ndogo , hakuweka picha nk
 
Bila NEC huru hakuna uchaguzi huru. Hawa wanacheza sinema tu. Wapinzani - bila Tume huru hakuna uchaguzi huru. Daini Tume huru mapema kabla ya uchaguzi. 2020-2025 iwe mika ya kudai mabadiliko ya Tume ya Uchaguzi.
 
Ikiwa tume kutokana na data zao, wameweza kuwapiga picha za electroniki wapiga kura 29,000,000 jee wanashindwaje kuwapiga picha wagombea wasiozidi 10,000?
 
Kesi ya kikatiba ya kupinga wagombea kupita bila kupingwa kwa wagombea wenye sifa za kugombea kikatiba ilifika mahakama kuu kwa hati ya dharura na itaanza kusikilizwa Leo tarehe tatu mwezi wa Tisa. Nakala ya Mashtaka NEC, Mwanasheria mkuu wa serekali Feleshi
 
Kesi ya kikatiba ya kupinga wagombea kupita bila kupingwa kwa wagombea wenye sifa za kugombea kikatiba ilifika mahakama kuu kwa hati ya dharura na itaanza kusikilizwa Leo tarehe tatu mwezi wa Tisa. Nakala ya Mashtaka NEC , Mwanasheria mkuu wa serekali Feleshi

Ni habari njema kwa wanademokrasia na wapenda haki wote.

Niliwahi kusema humu, ikiwa mmoja wa wagombea atafariki basi uchaguzi unaghairishwa na kuwa replaced inakuwaje mgombea kukosea kujaza fomu atenguliwe. Mind you conditions za kugombea ni kuwa ujuwe kusoma na kuandika tu. What do they expect from a std7 graduate?
 
Tume haiwezi na haitafanya kazi kwa mashinikizo. Kile ni chombo cha kuheshimika kwenye Taifa letu na kazi zake zipo kwa mujibu wa katiba na Sheria kwa hiyo watakapokamilisha watatoa taarifa, hizo harakaharaka zenu ndio zimewasababisha mkosee kujaza fomu na sasa mnatafuta mchawi.
 
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imekiri kupoke rufaa za wagombea nafasi ya ubunge na udiwani zipatazo 557. Tume iliahidi kuanza kuzifanyia kazi kuanzia tarehe moja mwezi wa tisa na kutoa majibu japo hatujasikia jibu kwa mkata rufaa hata mmoja.

Kwakuwa kampeni zimeanza kushika kasi tungependa kupata majibu ili wagombea waweze kujipanga Kama wameshinda rufaa zao. Ikiwezwkana tume itoe matokeo ya Kila rufaa iliyotolewa uamuzi bila kusubiri zoote 557 zikamilike.

Kuchelewesha rufaa kutahesabika Kama mbinu za kupima hali ya ushindani ili kujua rufaa ipi ikubaliwe na ipii ikataliwe. Hapa NEC itakuwa sehemu ya siasa. Chondechonde vyama visijisahau virudi kutazama namna ya kushinikiza mapitio ya hizo rufaa.

Sidhani Kama rufaa zote zinahitaji muda mrefu kujadiliwa ukizingatia sababu zilizotolewa na wasimamizi kuwaengua wagombea.

NEC isije kujifungia ofisini ikipanga Nani awe mbunge na nani asiwe. Nafasi 557 nyingi sana . Ukiengua hata nusu tu itakuwa umehujumu uchaguzi kwa kiwango kikubwa.

Sisi wananchi tungependa majina yarudi na kuturudishia haki yetu ya kuchagua badala ya NEC kutuchagulia kwa kivuli Cha ameandika herufi kubwa badala ya ndogo , hakuweka picha nk
Yatarudi tu watale wasitake.
 
Kwani majibu yanawekwa mtandanoni? Unajuaje kama warufani hawajajibiwa na wakaridhika au hawakuridhika ila wakawa hawana la kufanya kwa sababu majibu hayo ndiyo final
 
Wewe Ni juha wa kutupwa
Waliopita bila kupingwa Ni 18 tu
Viti vyote bungeni havizidi 300
NEC haifanyi kazi kwa shinikizo,mlionusa kushindwa andamaneni tu mvunjwe miguu
 
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imekiri kupoke rufaa za wagombea nafasi ya ubunge na udiwani zipatazo 557. Tume iliahidi kuanza kuzifanyia kazi kuanzia tarehe moja mwezi wa tisa na kutoa majibu japo hatujasikia jibu kwa mkata rufaa hata mmoja.

Kwakuwa kampeni zimeanza kushika kasi tungependa kupata majibu ili wagombea waweze kujipanga Kama wameshinda rufaa zao. Ikiwezwkana tume itoe matokeo ya Kila rufaa iliyotolewa uamuzi bila kusubiri zoote 557 zikamilike.

Kuchelewesha rufaa kutahesabika Kama mbinu za kupima hali ya ushindani ili kujua rufaa ipi ikubaliwe na ipii ikataliwe. Hapa NEC itakuwa sehemu ya siasa. Chondechonde vyama visijisahau virudi kutazama namna ya kushinikiza mapitio ya hizo rufaa.

Sidhani Kama rufaa zote zinahitaji muda mrefu kujadiliwa ukizingatia sababu zilizotolewa na wasimamizi kuwaengua wagombea.

NEC isije kujifungia ofisini ikipanga Nani awe mbunge na nani asiwe. Nafasi 557 nyingi sana . Ukiengua hata nusu tu itakuwa umehujumu uchaguzi kwa kiwango kikubwa.

Sisi wananchi tungependa majina yarudi na kuturudishia haki yetu ya kuchagua badala ya NEC kutuchagulia kwa kivuli Cha ameandika herufi kubwa badala ya ndogo , hakuweka picha nk
Ole wao walikoroge. Eti fomu imeandikwa DSM badala ya DAR ES SALAAN imekuwa sababu ya mgombea kuondolewa! TUME isithubutu kuleta uzwazwa huu. Wawaache wananchi wachague wenyewe. Kaijage na genge lake ataionja shubiri akileta mahaba kwa CCM iliyochokwa vibaya nchi nzima na sasa inataka kuitumia Tume ya Uchaguzi Kama mbwa wa kung'ata demokrasia. Moto utawaka. Nyakati zimebadilika sana.
 
Ni habari njema kwa wanademokrasia na wapenda haki wote.

Niliwahi kusema humu, ikiwa mmoja wa wagombea atafariki basi uchaguzi unaghairishwa na kuwa replaced inakuwaje mgombea kukosea kujaza fomu atenguliwe. Mind you conditions za kugombea ni kuwa ujuwe kusoma na kuandika tu. What do they expect from a std7 graduate?
Unaghairishwa. Disgusting! Changanyeni kingereza na kizungu sio shida. Shida inakuja mnaandika lugha ya ajabu ajabu.
Unaghairishwa ndio nini. Mnaharibu lugha aisee. Ebo!
All in all nimeelwa ulichotaka kumaanisha.
 
Hawa WAHUNI wa Tume ya UCHAFUZI, wamefikia hatua gani hadi sasa?
 
Kwani majibu yanawekwa mtandanoni? Unajuaje kama warufani hawajajibiwa na wakaridhika au hawakuridhika ila wakawa hawana la kufanya kwa sababu majibu hayo ndiyo final
Nashukuru NEC walizingatia ushauri kutoa majibu kidogokidogo ingawa Kasi yapaswa kuongezeka
 
Kwan kinachoendelea sasa ni wewe bwege, iache tume ifanye kazi yake na kumbuka ni Tume huru isiyofanya kaz kwa mashinikizo yenu, we subiri kama na wewe umekata rufaa utapata majibu yako
 
huyo aliyeandika DSM alipotakiwa aandike jina kamili alishindwa, sasa unataka tume ipitishe mambumbu wakagombee watupe shida wananchi kumsomea barua zake.
 
Mkuu kuwa makini hicho unachowish.Ni hatari sana.
 
Back
Top Bottom