Uchaguzi 2020 Rufaa 557 za Tume ya Uchaguzi, tunataka Matokeo



Nadhani ni wakati muafaka matokeo hayo kuambatana na majina. Tutajuaje ni kweli au figisu tu!
 
huyo aliyeandika DSM alipotakiwa aandike jina kamili alishindwa, sasa unataka tume ipitishe mambumbu wakagombee watupe shida wananchi kumsomea barua zake.
Katika hili mbumbumbu ni wewe. Sifa mojawapo ya kugombea ubunge ni kujua kusoma na kuandika. Sifa hiyo ipo wakati Kayumba zinazalisha kidato cha nne wasiojua kusoma na kuandika! Mwenye sifa ya kusoma na kuandika ataandika Dar es Salaam akikutana na Dar au DSM hajui. Wa chuo kikuu mpaka anamaliza shahada ya uzamivu mara zote huandika UDSM. Darasa la saba ( Msukuma) labda apige ramli kwanza ndio atajua hili ni nini! Wengine hatuna shida na hilo. Hata we don't give it a second thought. Ni dhahiri shayiri kulingana na muktadha. Hapa mbumbumbu ni wewe na NEC! Hawa NEC wanasema Lissu kakosea kwa kuandika CDM sehemu ya chama kinachomdhani. Kwa Msajili wa Vyama hakuna chama kama hicho. Lakini wanatoa taarifa kuwa mgombea wa CCM kateuliwa na wagombea wa CDM na ACT-W hawakuteuliwa! Tanzania nchi ya vi-wonder.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…