Rufaa dhidi ya African Lyon: Yanga kupewa alama zake 3 walizocheza dhidi ya African Lyon?

Rufaa dhidi ya African Lyon: Yanga kupewa alama zake 3 walizocheza dhidi ya African Lyon?

kessy hajawahi kucheza mechi yanga akiwa na mkataba na simba elewa hilo tatizo ni taratibu za usajili hazikuwa sawa alisaini yanga wakati ana mkataba bado na simba alianza kucheza yanga wakati mkataba wake rasmi umeisha
Na Ludovic ameanza kuichezea African lyon huku mkataba na timu yake ya awali Mbao umeisha..so kumbe ngoma droo
 
Alama zisingekuwa za muhimu, hakuna mtu angesumbuka kukata rufaa!

Kwenye mchezo wa soka alama 3 ni muhimu sana. Ukuona mpinzani amefanya makosa yanayokinzana na Kanuni lazima aadhibiwe!

Inakuwaje kila mtu angekuwa anatafuta alama 3 nje ya kanuni.? Kungekuwa na mpira kweli?

Au kwa sababu ni Yanga SC, basi wapotezee kwakuwa alama 3 kwao hazina umuhimu?

Taratibu zifuatwe!
Waliokaa nafasi za watu wanaanza kuhara sasa. [emoji23]
Yanga mwaka huu mtatafta ushindi kwa lazima - kessy anawahusu
 
Ni vizuri kupata ufafanuzi pale taratibu zinapokiukwa,lakini haitasaidia lolote ikiwa utaratibu huo unaongozwa na mhemuko wakuongeza points. Tuache matokeo ya uwanjani yaamue na sio mezani.
Kuamua MEZANI ni utaratibu halali unaokubalika Dunia nzima. Kama unajua mpira hutabisha kama mnazi karibu ubishe...
 
Tupe mifano ya ligi za Uingereza,Spain,Ujerumani,Ufaransa na Italia ya timu iliyopewa ushindi wa mezani.
 
Wakati simba wakitegemea kupata mamilioni baada ya kumuuza ajib,yanga wako bussy wanamwaga chozi kwa ajiri ya point 2 za mezani...shwaini kabisa.!!
Mkuu mamilioni gani unayo yazungumzia? Au ni yale uliyoota ndotoni.?

waarabu hawawezi kumnunua zaidi ya Milioni 95.

Sasa hizo nazo pesa!
 
Watu wengine wanashangaza sana. Mtu hana pesa ya vocha au ya kubadili mboga halafu anakwambia millioni 95 sio pesa.
 
Simba haiwezi kuwa bingwa kwa kuwa chama cha soka cha nchi hii....kwa makusudi kabisa hakitaki simba iwe bingwa....bingwa wanaye mfukoni...
Ila ukiangalia kiundani, unakuta ni kweli.

Yaani haiwezekani hawa Yanga SC wawe wanakuwa Mabingwa wao tangu miaka ya 1965.. Mpaka wanatimiza makombe 26 ya Ubingwa...


Huenda viongozi wote waliopata kuwa pale TFF walikuwa wanaipenda Yanga SC tangu miaka hiyo ya 65' mpaka hivi leo.
 
Mleta Uzi Nadhani Hutaleta Mrejesho Kuhusu Rufaa Yenu 😀😀😀 ....

Je points zenu munazozingojea Za Mezani Zimepaa anga gani?

Munafikiri Vya Bure Vinapatikana tu Kirahisirahisi Hivyo??
Tafuteni Njia Nyengine Ya Kupata Points lakini Siyo Hiyo Ya Ubwete....

Sasa Ninawashauri tu Nyie Mbeleko FC kuwa Muende FIFA moja kwa moja Mukakate rufaa ya Kuzidai Hizo Points! Lakini Kwa TZ hamna chenu...


Kuhusu rufaa:Yanga yanyimwa alama 3 za bure

cc: demigod
 
Pengine uko tofauti na wenzako walio 'wengi'.

Maana kila mechi Mabingwa watetezi wakishinda, kelele ni kwamba cl'Manji Kanunia mechi'....

Simaanishi ubadilishe msimamo wako ili ujiunge na ule unaoaminiwa na Mashabiki walio wengi wa Matopeni FC.
 
Mkuu Punguza mihemko kidogo! Hiyo mihemko tuwaachie wake zetu....

Ninazungumzia mil 95/= kwa klabu, sijamaanisha Mil 95/= ziwapo kwenye himaya yangu.


Zikiwa kwen himaya yangu hizo ni nyingi mno!

Umenielewa! [emoji23]
 
Ila ukiangalia kiundani, unakuta ni kweli.

Yaani haiwezekani hawa Yanga SC wawe wanakuwa Mabingwa wao tangu miaka ya 1965.. Mpaka wanatimiza makombe 26 ya Ubingwa...


Huenda viongozi wote waliopata kuwa pale TFF walikuwa wanaipenda Yanga SC tangu miaka hiyo ya 65' mpaka hivi leo.

Mabingwa wa mezani lakini kiwanjani wanatia aibu....
 
Hata kwa klabu ni pesa nyingi kwa standard ya Tanzania. Ndio maana kuna klabu inashindwa kulipa mishahara na kupelekea wachezaji kugoma.
 
Back
Top Bottom