TEACHER FRANK MSIGWA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2016
- 537
- 445
Na Ludovic ameanza kuichezea African lyon huku mkataba na timu yake ya awali Mbao umeisha..so kumbe ngoma drookessy hajawahi kucheza mechi yanga akiwa na mkataba na simba elewa hilo tatizo ni taratibu za usajili hazikuwa sawa alisaini yanga wakati ana mkataba bado na simba alianza kucheza yanga wakati mkataba wake rasmi umeisha
Na kosa la Ludovic??Ni umbumbumbu wenu kuacha TFF iwe ndiyo Yanga yenyewe, mpira ni mchezo wa akili tatizo simba hamjajaliwa akili, mtaendelea kubaki wamatopeni lkn shukuruni sana mwaka huu mvua si nyingi sana
Sijaelewa swali lako imeingiaje hapo?Na kosa la Ludovic??
Na Ludovic kasainishwa African Lyon baada ya mkataba wake na mbao kuisha...mnalialia nini sasaKessy kasainishwa mkataba na yanga baada ya mkataba wake na simba kuisha.
Nimekuuliza kosa la Ludovic ni lipi mpaka watu waanze kulilia point za mezaniSijaelewa swali lako imeingiaje hapo?
Kosa la Ludovic ni kuifunga Yanga. Bila ya kuifunga Yanga haya yote yasingetokea.Nimekuuliza kosa la Ludovic ni lipi mpaka watu waanze kulilia point za mezani
Yanga mwaka huu mtatafta ushindi kwa lazima - kessy anawahusuAlama zisingekuwa za muhimu, hakuna mtu angesumbuka kukata rufaa!
Kwenye mchezo wa soka alama 3 ni muhimu sana. Ukuona mpinzani amefanya makosa yanayokinzana na Kanuni lazima aadhibiwe!
Inakuwaje kila mtu angekuwa anatafuta alama 3 nje ya kanuni.? Kungekuwa na mpira kweli?
Au kwa sababu ni Yanga SC, basi wapotezee kwakuwa alama 3 kwao hazina umuhimu?
Taratibu zifuatwe!
Waliokaa nafasi za watu wanaanza kuhara sasa. [emoji23]
Kuamua MEZANI ni utaratibu halali unaokubalika Dunia nzima. Kama unajua mpira hutabisha kama mnazi karibu ubishe...Ni vizuri kupata ufafanuzi pale taratibu zinapokiukwa,lakini haitasaidia lolote ikiwa utaratibu huo unaongozwa na mhemuko wakuongeza points. Tuache matokeo ya uwanjani yaamue na sio mezani.
Mkuu mamilioni gani unayo yazungumzia? Au ni yale uliyoota ndotoni.?Wakati simba wakitegemea kupata mamilioni baada ya kumuuza ajib,yanga wako bussy wanamwaga chozi kwa ajiri ya point 2 za mezani...shwaini kabisa.!!
Ndio..!Yaani hatuwezi nini? Kununua mechi? [emoji23]
Ila ukiangalia kiundani, unakuta ni kweli.Simba haiwezi kuwa bingwa kwa kuwa chama cha soka cha nchi hii....kwa makusudi kabisa hakitaki simba iwe bingwa....bingwa wanaye mfukoni...
Pengine uko tofauti na wenzako walio 'wengi'.Ndio..!
Ila ukiangalia kiundani, unakuta ni kweli.
Yaani haiwezekani hawa Yanga SC wawe wanakuwa Mabingwa wao tangu miaka ya 1965.. Mpaka wanatimiza makombe 26 ya Ubingwa...
Huenda viongozi wote waliopata kuwa pale TFF walikuwa wanaipenda Yanga SC tangu miaka hiyo ya 65' mpaka hivi leo.