Rufaa kesi ya zombe yasogezwa mbele, lema apeta

Rufaa kesi ya zombe yasogezwa mbele, lema apeta

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
attachment.php

Mbunge Godbless Lema akionyesha ishara ya vidole inayotumika na chama chake wakati akitoka mahakamani.

attachment.php

Wandishi wa habari wakizungumza na Wakili Tundu Lissu aliyekuwa akimtetea Lema.
attachment.php

Lema akizungumza na wana habari mara baada ya rufaa kutupwa.
attachment.php

Lema akipongezana na Mwanasheria wa Serikali Alute Akida mara baada jopo la majaji kutoa uamuzi.

RUFAA
ya kesi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam ACP Abdallah Zombe na askari wenzake wanane ya mauaji ya wafanyabiashara wawili na dereva taksi mmoja iliyokuwa ianze kusikilizwa leo katika Mahakama ya Rufaa Tanzania imeahirishwa.

Kesi hiyo haikusomwa mahakamani hapo kwa kile kilichoelezwa kuwa hati ya mashitaka ina makosa.
Hata hivyo, haikuelezwa lini shauri hilo litasikilizwa mahakamani hapo japokuwa Zombe na wenzake walikuwepo katika mahakama hiyo.

Wakati huohuo, rufaa ya kesi ya Mbunge wa Arusha mjini kwa tiketi ya Chadema, Godbless Lema imetupiliwa mbali na mahakama kumtangaza mbunge huyo kuwa ni halali.
Rufaa hiyo ilisikilizwa na majaji watatu wa Mahakama Rufaa Tanzania ambao ni Engili Kileo, Salum Massati na Benard Luanda kwa pamoja wametupilia madai ya rufaa hiyo.



HBR😛ICHA NA HARUNI SANCHAWA
RUFAA KESI YA ZOMBE YASOGEZWA MBELE, LEMA APETA - Global Publishers
 

Attachments

  • Lema.jpg
    Lema.jpg
    50.1 KB · Views: 598
  • Lema2.jpg
    Lema2.jpg
    49.2 KB · Views: 166
  • Lema3.jpg
    Lema3.jpg
    28.3 KB · Views: 161
  • Tundu Lissu.jpg
    Tundu Lissu.jpg
    48.7 KB · Views: 155
Back
Top Bottom