Rufaa mikopo elimu ya juu 2012/13

mjanj

Member
Joined
Nov 21, 2012
Posts
7
Reaction score
0
Waungwana nisaidieni,mm ni moja kati y6a waliokata rufaa ya means test ya mkopo niliopewa na waziri wa chuo changu akadai kuwa ameenda bodi na wamemwambia kuwa katikati ya mwezi wa pili majina yatakuwa out but nashangaa sana leo ni mwisho wa mwezi na majina siyaoni,ukimuuliza analeta danadana na story zile zile za wale tuliowaamini tukawapa dhamanna ya kuzilinda rasiliumali zetu na matokeo yake wakazifanya zao.Wasomi wenzangu hebu nisaidieni lini hasa matokeo haya yanatoka?Tumaini Makumira Arusha.
 
ulikata rufaa kwa kutorizika na kiwango cha mkopo au hawakukupa mkopo kabisa
 
Semester inaisha kesho bt sijapewa hata quarte1 toka oktoba!.Loan officer ni ful ngonjera na madharau kibao.Daa,inadiscourage kwa cc makayumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…