Waungwana nisaidieni,mm ni moja kati y6a waliokata rufaa ya means test ya mkopo niliopewa na waziri wa chuo changu akadai kuwa ameenda bodi na wamemwambia kuwa katikati ya mwezi wa pili majina yatakuwa out but nashangaa sana leo ni mwisho wa mwezi na majina siyaoni,ukimuuliza analeta danadana na story zile zile za wale tuliowaamini tukawapa dhamanna ya kuzilinda rasiliumali zetu na matokeo yake wakazifanya zao.Wasomi wenzangu hebu nisaidieni lini hasa matokeo haya yanatoka?Tumaini Makumira Arusha.