RUFAA OYEE: Hawatoki Bungeni hadi demokrasia ichukue mkondo

RUFAA OYEE: Hawatoki Bungeni hadi demokrasia ichukue mkondo

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Ajira yenyewe ngumu jamani halafu mnataka hizi ajira 19 mzikatili kweli? hapo kuna watu kama 200 wanafaidika na uwepo wa covid 19

Nasema hivi ile ahadi ya Ndugai ya kuwalinda hawa wanamapinduzi wapenda haki mashupavu 19 inatendewa haki sana na mwanamama hodari gwiji la sheria kabisa

Rufaa iendelee kazi iendeleee waliiindweee na ieleweke kuna mihimili iliyojichimbia chini zaidi ya mingine

rufaa.jpg
 
Mwanaume mzima unamuonea wivu demu kisa pesa.

Chadema acheni ujinga huo.
Achaneni na wanawake hawa wale pesa zao..shida iko wapi mbona tunanyang'anyana keki jamani
kabisa watu wana wivu sana aiseeee fikira jana mijaji mizima na midevu yao inaona wivu kisa watu wanapiga hela zao bungeni huko
 
Mwanaume mzima unamuonea wivu demu kisa pesa.

Chadema acheni ujinga huo.
Achaneni na wanawake hawa wale pesa zao..shida iko wapi mbona tunanyang'anyana keki jamani
Usimdhalilishe Mjerumani hakuna ujinga kama unavyofikiri wewe,Rushwa ni adui wa haki
 
Ajira yenyewe ngumu jamani halafu mnataka hizi ajira 19 mzikatili kweli? hapo kuna watu kama 200 wanafaidika na uwepo wa covid 19....

CHADEMA hawana kabisa maarifa ya kupambana na CCM. Sasa hivi wamekuwa distracted from their common enemy, wako busy na civil wars!
 
Kwa juhudi walizoonyesha covi19 za kutaka uhalali wao juu ya chama chao na kurudi chamani, ningefurahi kama kamati kuu ya chadema wangewasamehe tu hakuna aliekua mkamilifu
 
Mwanaume mzima unamuonea wivu demu kisa pesa.

Chadema acheni ujinga huo.
Achaneni na wanawake hawa wale pesa zao..shida iko wapi mbona tunanyang'anyana keki jamani
Mpuuzi mkubwa, kwa hiyo waendelee kula pesa za umma bila kufuata sheria na katibva kisa ni wanawake?
 
Mwanaume mzima unamuonea wivu demu kisa pesa.

Chadema acheni ujinga huo.
Achaneni na wanawake hawa wale pesa zao..shida iko wapi mbona tunanyang'anyana keki jamani
Kuna lyanaume moja lilimpora ubunge Sofia Simba, etc, mpaka Mungu akachukia.
 
Back
Top Bottom