RUFAA OYEE: Hawatoki Bungeni hadi demokrasia ichukue mkondo

Ajira yenyewe ngumu jamani halafu mnataka hizi ajira 19 mzikatili kweli? hapo kuna watu kama 200 wanafaidika na uwepo wa covid 19

Nasema hivi ile ahadi ya ndugai ya kuwalinda hawa wanamapinduzi wapenda haki mashupavu 19 inatendewa haki sana na mwanamama hodari gwiji la sheria kabisa

Rufaa iendelee kazi iendeleee waliiindweee na ieleweke kuna mihimili iliyojichimbia chini zaidi ya mingine

View attachment 2269800

Unapokata Rufaa hukumu ya nyuma inabaki Kama ilivyo haibadiliki. Halafu akina Halima Mdee hawawezi kukata Rufaa wanahitajika kufungua kesi mpya.

Ila Mimi nashangaa Mbowe anaongea nini na CCM.
 
CDM hawana kabisa maarifa ya kupambana na CCM. Sasa hivi wamekuwa distracted from their common enemy, wako busy na civil wars!
So unaona sawa kinachoendelea bungeni?? Unadai uchaguzi sio huru alafu unapeleka wabunge? What's that? Watawaambia nini wananchi 2025 kuhusu umuhimu wa tume huru ilihali waliporwa majimbo yote alafu Bado walikubali viti maalum 20!!!

How cheap will they look, perception is everything in politics.
 
🐒🐒🐒
16554546876670.jpg
 
Ajira yenyewe ngumu jamani halafu mnataka hizi ajira 19 mzikatili kweli? hapo kuna watu kama 200 wanafaidika na uwepo wa covid 19

Nasema hivi ile ahadi ya ndugai ya kuwalinda hawa wanamapinduzi wapenda haki mashupavu 19 inatendewa haki sana na mwanamama hodari gwiji la sheria kabisa

Rufaa iendelee kazi iendeleee waliiindweee na ieleweke kuna mihimili iliyojichimbia chini zaidi ya mingine

View attachment 2269800
Hahahaaa mbona mwaka huu Chadema mnalo
 
unajua kuwa Akina Halima Mdee wanaondolewa Bungeni ili kuwapeleka kina Joyce Mukya?

usidhan wanatumia nguvu kuwatoa ili tu watoke

Bawacha wapya wanataka vile viti kwa nguvu kubwa sana
So unaona sawa kinachoendelea bungeni?? Unadai uchaguzi sio huru alafu unapeleka wabunge? What's that? Watawaambia nini wananchi 2025 kuhusu umuhimu wa tume huru ilihali waliporwa majimbo yote alafu Bado walikubali viti maalum 20!!!

How cheap will they look, perception is everything in politics.
 
Kwa kusoma replies hapa najifunza mambo mengi kama si machache kuwahusu watanzania wenzangu.

Yaani watu hawaeleweki kiukweli, leo wanawashabikia kina mdee waendelee kula pesa za bunge kisa wao ni wanawake, upande wa pili wanashangilia uvunjifu wa kanuni na sheria.

🎯 Muombe Allah uendelee kuishi ujifunze tabia ya binadamu.
 
CDM hawana kabisa maarifa ya kupambana na CCM. Sasa hivi wamekuwa distracted from their common enemy, wako busy na civil wars!

Kwa kusoma replies hapa najifunza mambo mengi kama si machache kuwahusu watanzania wenzangu.

Yaani watu hawaeleweki kiukweli, leo wanawashabikia kina mdee waendelee kula pesa za bunge kisa wao ni wanawake, upande wa pili wanashangilia uvunjifu wa kanuni na sheria.

🎯 Muombe Allah uendelee kuishi ujifunze tabia ya binadamu.
nchi imejaa mijinga mitupu acha iiibiwe hadi akili ziwakae sawa
 
Hivi hawa wakiondolewa CDM wanapeleka wengine 19 au?
Wao si walisusia uchaguzi . Walishawatoa uanachama waache mengine yaendelee, la sivyo wanakubaliana na uchaguzi ule

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Ajira yenyewe ngumu jamani halafu mnataka hizi ajira 19 mzikatili kweli? hapo kuna watu kama 200 wanafaidika na uwepo wa covid 19

Nasema hivi ile ahadi ya ndugai ya kuwalinda hawa wanamapinduzi wapenda haki mashupavu 19 inatendewa haki sana na mwanamama hodari gwiji la sheria kabisa

Rufaa iendelee kazi iendeleee waliiindweee na ieleweke kuna mihimili iliyojichimbia chini zaidi ya mingine

View attachment 2269800
michadema inataka, iweke watu wao ili iwe inawakata hela kila mwezi... saiz hawalambi hata sh kwa kina mdee
 
Ajira yenyewe ngumu jamani halafu mnataka hizi ajira 19 mzikatili kweli? hapo kuna watu kama 200 wanafaidika na uwepo wa covid 19

Nasema hivi ile ahadi ya ndugai ya kuwalinda hawa wanamapinduzi wapenda haki mashupavu 19 inatendewa haki sana na mwanamama hodari gwiji la sheria kabisa

Rufaa iendelee kazi iendeleee waliiindweee na ieleweke kuna mihimili iliyojichimbia chini zaidi ya mingine

View attachment 2269800
Unayo habari kwamba wanakula TOZO unazokamuliwa? au wee ni sawa na mshumaa unatekea kwa mikodi ili wenzio waishi
 
Nipo hapa nakunywa maji safi kama ushauri wa Ronaldo siasa mtanisumilia 2040 nikiwa mzee
 
Back
Top Bottom