Tetesi: rufaa vyeti

Tetesi: rufaa vyeti

Hofu yakichelewa majibu ya rufaa na mwezi wa sita hawaingii kwenye paylor mwisho tar 5 ya mwezi
 
Tupo ujumbe vizuri maana sisi vichwa maji unatuacha wengi
 
Yaani kila mwezi maafisa utumishi wanatakiwa kutuma majina ya mishahara kabla ya tar 5 ili upate mshahara wa mwezi huo sasa kama yakichelewa majibu ya rufaa na mwezi wa sita hautapata mshahara tena
 
mbaya sana kukosa mshahara..and then uuombe baadae...its a fu.kn calamity
 
Khaa! Pole ndugu, ila baada ya hapa, mshahara ukianza kuingia tena utakuwa mtunza akiba mzuri sana... Nadhani utakuwa umejua umuhimu wa kuweka akiba for uncertainties kama hizo.
 
Back
Top Bottom