Rufaa ya kina Mdee mbele ya Baraza Kuu dhidi ya Kamati Kuu CHADEMA: Kicheko kwa G19, Kilio kwa kina Mbowe

Mama Amon mawazo binafsi ruksa hata yasiyokuwa na substances.
Halima Mdee anajua fika nini alifanya na nini matarajio na matokeo yake.
Furthermore Baraza kuu kamwe haliwezi kuwa kinyume na matakwa ya wanachama walio wengi. As such naona COVID - 19 wakielekea mahakamani kutafuta mbeleko ya spika Ndugai au Magogoni. Kumbuka CDM haina shida kuona COVID - 19 wanakula pesa ya serikali bure hali siyo wanachama wa chama chochote maana wameisha yaona na kuyazoea (Mwambe, Lijuakali, Silinde etc)
 
Bandiko linaongelea mawili: Umuhimu wa Baraza kuu kusimamia

1. Substantive justice
2. Procedural justice

Kuweka precedence nzuri kwa chama ni jukumu la Baraza Kuu.
 
Bandiko linaongelea mawili: Umuhimu wa Baraza kuu kusimamia

1. Substantive justice
2. Procedural justice

Kuweka precedence nzuri kwa chama ni jukumu la Baraza Kuu.
Haahaa Hilo Baraza kuu litakalobariki uozo wa kina halima litakuwa limejipotezea heshima yake.yaani wabunge wa chama chenu waapishwe bila uongozi wa chama kuwa na taarifa Kisha wabariki.Time will tell...
 
Mnyika 'atakuwa' ana nguvu hata kumzidi meko.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Akiongea na mtandao wa Mama Amon, Mbunge mmoja wa viti maalum, ambaye hakutaka jina lake litajwe, alisema kwamba, kwa mujibu wa barua ya tuhuma dhidi yao, Mdee na wenzake 18 wanakabiliwa na mashitaka hafifu sita na ambayo hayana mashiko
Sasa tumebaki na waandishi kama hawa. Hasara tupu ndani ya taifa.
 
Mkuu mama Amon ni mmoja wa Covid-19, hilo wala usiumize kichwa chako.
Nakubaliana na wazo hilo.

Huyu aliwahi kuleta mada yake hapa huko siku za nyuma, mada ambayo baadae ilibainika hakuwa na uwezo wa kuiandika. Aliichukua mahala na kuileta hapa; lakini katika uchangiaji wake ilionekana dhahiri hakuwa na uwezo wa kuwasilisha mada kama hiyo.

Andiko lake reefu hapa ni la kipuuzi kwelikweli na wala halitii mantiki yoyote.
 
This is my thread. I have power to guide the debate. Kama hujui hilo ndio maana unatumia mdomo wako kuharisha matusi. Comply.
Ona ulivyo mjinga na upeo mdogo, thread yoyote humu ni mali ya JF.

Ndio maana ukipost thread humu huna access ya kuifuta, unawezaje kuita kitu eti 'my[emoji769] wakati huna access nacho?

Fanculo.
 
Ona ulivyo mjinga na upeo mdogo, thread yoyote humu ni mali ya JF.

Ndio maana ukipost thread humu huna access ya kuifuta, unawezaje kuita kitu eti 'my[emoji769] wakati huna access nacho?

Fanculo.
Off point reply.
Nimeongelea haki ya kuongoza mjadala niliouanzisha.
Mie ndiye najua hoja niliyoibandika.
Ukienda kando nakurudisha.
Finito.
 
Sijui kwanini akili yangu inanituma kwamba Mbowe alikuwa anajua dili zima na behind the scene anataka kuwarudisha hawa wamama.
 
Weka link ya hilo bandiko nikuonyeshe ujinga wako.
 
Kujenga jina na kuaminiwa na jamii inahitaji uwe na organized resources, trust pamoja na kulinda heshima ya jina lako ulilolijenga kwa miaka mingi. Mdee na wenzake kwenye hili wameshindwa kulinda heshima waliyoijenga kwa miaka mingi
 
Kujenga jina na kuaminiwa na jamii inahitaji uwe na organized resources, trust pamoja na kulinda heshima ya jina lako ulilolijenga kwa miaka mingi. Mdee na wenzake kwenye hili wameshindwa kulinda heshima waliyoijenga kwa miaka mingi
Tetea tamko lako tuone ushahidi.
 
Wewe ndio mshamba hujui michezo mudogo kama hii!

Mnyika na tume walikuwa na mawasiliano.
 
Tangu lini wanachama wa chadema wakasikilizwa matakwa yao?

Daima nyie huburuzwa tu na Mbowe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…