Uchaguzi 2020 Rufaa ya Mgombea Ubunge wa CHADEMA jimbo la Mlimba bado haijatolewa na NEC?

Uchaguzi 2020 Rufaa ya Mgombea Ubunge wa CHADEMA jimbo la Mlimba bado haijatolewa na NEC?

Suala linarudi palepal kuwa imeshatoka hiyo, sisi tunajua kama kadhulumiwa then?
Na una amini kuwa angetulia jina lake lisingekatwa? Angalau kwa kupiga kelele kila mmoja mwenye kutaka kusikia ameona jinsi ambavyo amedhulumiwa.

Amandla...
 
Huu ni ujinga wa kiwango cha lami, hawatapewa ushirikiano kivipi?
Wenyeviti wa serikali za mitaa tulisema hivihivi na mwisho wa siku utambulisho wowote tunaanzia kwao. Hao wagombea ubunge wote na wagombea udiwani wana utambilisho wa wenyeviti


Huo ni ushirikiano na dola sio na wananchi ...
Unajua kuna wenyeviti wangapi hadi sasa wamechomewa nyumba moto au kudhuriwa na wananchi ?????? hatuwezi kuunga mkono ...maana pia tunaweka maisha yao hatarini
Angalia mtu kama Mnyeti muasisi wa nunua nunua na mtoto wa dada yake magufuli ...kwenye JIMBO lake wapinzani wote waliogombea ubunge na udiwani wamekosea kujaza fomu .....huo ni ufalme wa muda tu ..hataweza kuwa na maisha marefu kisiasa baada ya mjomba wake kuondoka madarakani .......atapotea ...Tu
wewe inaingia akilini kweli madiwani wooooooote ni wajinga huko
 
Huyu Mama amefuatilia sana rufaa yake kule NEC. Je rufaa yake tayari imetolewa uamuzi na Tume ya Taifa ya Uchaguzi?.
Magufuli ameagiza Kunambi ni lazima awe mbunge hata kama wananchi wote wa Mlimba watauawa
 
Ninauliza huyu Mhe. rufaa yake imekubaliwa?.
 
Ishatoka hiyo, kilichobaki washabini tuendelee kulialia humu jf.
Watu wanapenda sana kuwajaza wengine upepo, huyu mama watu walisema hatutakubali akatwe tutakiwasha na kelele nyingi.
Ye mwenyewe kishajikatia tamaa, yupo zake dar tu

Mama hajakata tamaa!
Ataenda Mahakamani na sheria inasema lzm kwanza mbunge aapishwe!
 
Waache wajikaange tu mzee!! Bado siku 20+ kampeni ziishe hawajatoa majibu ya rufaa za wapinzani, huku wamemfungia Lissu kufanya kampeni!!

Wanafikiri Marekani anatania aliposema tena kwa maandishi kuwa kutakuwa na matokeo/ adhabu kwa kila aliyehusika katika kuminya demokrasia kwenye uchaguzi huu wa Tanzania.

Wanajipulizia moto wenyewe. Waache tu!!
Dunia hii hakuna kutishana tena. Wenye mahaba ya kwenda marekani ni wachache sanaaaa
 
Back
Top Bottom