Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Na una amini kuwa angetulia jina lake lisingekatwa? Angalau kwa kupiga kelele kila mmoja mwenye kutaka kusikia ameona jinsi ambavyo amedhulumiwa.
Amandla...
Huu ni ujinga wa kiwango cha lami, hawatapewa ushirikiano kivipi?
Wenyeviti wa serikali za mitaa tulisema hivihivi na mwisho wa siku utambulisho wowote tunaanzia kwao. Hao wagombea ubunge wote na wagombea udiwani wana utambilisho wa wenyeviti
Magufuli ameagiza Kunambi ni lazima awe mbunge hata kama wananchi wote wa Mlimba watauawaHuyu Mama amefuatilia sana rufaa yake kule NEC. Je rufaa yake tayari imetolewa uamuzi na Tume ya Taifa ya Uchaguzi?.
Jitu amiri jeshi mkuu anapiga magoti kuomba kura..Bongo movieUpinzani ulishakufa tangu 2015, kilicho baki ni futuhi.
Achana na huyo mamluki wa kulipwa elfu 7Na una amini kuwa angetulia jina lake lisingekatwa? Angalau kwa kupiga kelele kila mmoja mwenye kutaka kusikia ameona jinsi ambavyo amedhulumiwa.
Amandla...
Ninauliza huyu Mhe. rufaa yake imekubaliwa?.
Ishatoka hiyo, kilichobaki washabini tuendelee kulialia humu jf.
Watu wanapenda sana kuwajaza wengine upepo, huyu mama watu walisema hatutakubali akatwe tutakiwasha na kelele nyingi.
Ye mwenyewe kishajikatia tamaa, yupo zake dar tu
Dunia hii hakuna kutishana tena. Wenye mahaba ya kwenda marekani ni wachache sanaaaaWaache wajikaange tu mzee!! Bado siku 20+ kampeni ziishe hawajatoa majibu ya rufaa za wapinzani, huku wamemfungia Lissu kufanya kampeni!!
Wanafikiri Marekani anatania aliposema tena kwa maandishi kuwa kutakuwa na matokeo/ adhabu kwa kila aliyehusika katika kuminya demokrasia kwenye uchaguzi huu wa Tanzania.
Wanajipulizia moto wenyewe. Waache tu!!
Au majibu yalipelekwa chamani. Hajapewa regret letter. Tumpe pole huyo ndugu yetu. Apewe viti maalumMama hajakata tamaa!
Ataenda Mahakamani na sheria inasema lzm kwanza mbunge aapishwe!