Rufaa za necta necta-haijabadilika!!!!!!!!!!!!!!!!! !!!!!!!!!!!!

Rufaa za necta necta-haijabadilika!!!!!!!!!!!!!!!!! !!!!!!!!!!!!

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2011
Posts
12,357
Reaction score
6,424
Wadau, ukipitia rufaa za mtihani wa taifa form 4 mwaka jana 2011, only one student got her results changed from F to D in Basic mathematics.
Kama ni hivyo, hongera NECTA for that high degree of precision!!! Kweli lakini????????
 
Kumbe ni kweli rufaa hizi huwa hazisaidii chochote?
 
Back
Top Bottom