Rufiji inastahili kuwa Mkoa

Kwani bila huko rufiji kuwa mkoa wananchi hawawezi kupata maendeleo??

Hivi huko CCM vichwani mwenu mnafugaga funza nini? Hizi akili mnazitoaga wapi?

Kweli mpumzike tu!
Huyo jamaa katoa hoja ya hovyo
 
Hayo yote yatakusaidia nini wewe? Au ndo mnawaza vyeo tu?

Badala ya kuibana Serikali iweke huduma bora kwa wananchi katika maeneo yote nyie mnawaza kuanzisha mikoa na wilaya ili mpate vyeo.

Kweli ujinga ni kipaji Tanzania
😁😁😁
Aisee!
 
Kumbe mushapitisha tayari? Ndio maana wameipa hadhi ya Manispaa Rufiji na Mkuranga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…