Rufiji inastahili kuwa Mkoa

Rufiji inastahili kuwa Mkoa

Kwani bila huko rufiji kuwa mkoa wananchi hawawezi kupata maendeleo??

Hivi huko CCM vichwani mwenu mnafugaga funza nini? Hizi akili mnazitoaga wapi?

Kweli mpumzike tu!
Huyo jamaa katoa hoja ya hovyo
 
Hayo yote yatakusaidia nini wewe? Au ndo mnawaza vyeo tu?

Badala ya kuibana Serikali iweke huduma bora kwa wananchi katika maeneo yote nyie mnawaza kuanzisha mikoa na wilaya ili mpate vyeo.

Kweli ujinga ni kipaji Tanzania
😁😁😁
Aisee!
 
Hili limeshapita. Rufiji itakuwa mkoa mwaka huu makao makuu ni Ikwiriri, mkoa utaundwa na wilaya za Mafia, Kibiti, Rufiji na Mkuranga

Ushauri wangu kwa Mchengerwa:
1. Mkoa utakaoundwa na wilaya za Kisarawe, Bagamoyo, Chalinze na Kibaha uitwe Mkoa wa Bagamoyo.

2. Mkoa utaoundwa na wilaya za Rufiji, Kibiti, Mafia na Mkuranga uitwe mkoa wa Rufiji.

Kusiwe ma mkoa unaitwa Pwani
Kumbe mushapitisha tayari? Ndio maana wameipa hadhi ya Manispaa Rufiji na Mkuranga
 
Back
Top Bottom