Rufiji: Kada wa CCM Shaban Matwebe akataliwa kuchukua form ya kugombea Ubunge jimbo la Mchengerwa.

Frank Wanjiru

Platinum Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
25,686
Reaction score
46,842
Kada wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Rujifi Shaban Matwebe amelalamikia kuwa Katibu wa Chama hicho Wilaya ya Rujifi amekataa kumpa fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Rufiji.

Akiongea leo July 1 2025 Matwebe amesema hiyo sio mara ya kwanza kwake kupata changamoto kwani alishawahi kukamatwa na Polisi na kuwekwa Mahabusu na hata leo amenusurika kukamatwa ingawa amesisitiza hilo halimkatishi tamaa ya kuendelea kupambania kuchukua fomu kwani ameanza kugombea katika Jimbo hilo kwa muda mrefu sasa.

Matwebe anachuana na Mbunge aliyechukua fomu kutetea nafasi yake Mohamed Mchengerwa ambaye ni Waziri wa TAMISEMI.
 
Hao akina mchengelwa si ndio wanajinadi kuwa wamefanya mambo mengi, hofu inatoka wapi?
Aache kura za maoni zikaamue na sio kwa njia hizo za drama za mwaka 1947
 
Kada wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Rujifi Shaban Matwebe amelalamikia kuwa Katibu wa Chama hicho Wilaya ya Rujifi amekataa kumpa fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Rufiji.

Akiongea leo July 1 2025 Matwebe amesema hiyo sio mara ya kwanza kwake kupata changamoto kwani alishawahi kukamatwa na Polisi na kuwekwa Mahabusu na hata leo amenusurika kukamatwa ingawa amesisitiza hilo halimkatishi tamaa ya kuendelea kupambania kuchukua fomu kwani ameanza kugombea katika Jimbo hilo kwa muda mrefu sasa.

Matwebe anachuana na Mbunge aliyechukua fomu kutetea nafasi yake Mohamed Mchengerwa ambaye ni Waziri wa TAMISEMI.
Ni maagizo toka kwa mamamkwe, kama alikosa aibu akajipitisha kibabe kuwa mgombea kule Dodoma atashindwaje kutoa maagizo batili ili mkwewe asipate upinzani ndani ya chama kama alivyofanya yeye?
 
Wakiambiwa reform wanajidai kutiki,haya tuone sasa kama atapewa fomu
 
Back
Top Bottom