Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Upande 'ule'.
wala siyo mkoa ndo tabia zaoUpande 'ule'.
Ni kutokana na mkoa husika.
Rudisha avatar picha yako ya profesa Asad.wala siyo mkoa ndo tabia zao
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Tayari msera hana kesi tena maana inaaminika amekufa.
Mchezo makini Sana huu
Hukumu imetolewa baada ya kusikilizwa na mwenyezi Mungu, hakuna rushwa hapa.
Mahabusu ambaye alikuwa na kesi ya mauaji, Musa Haji Mchana, alipigwa na radi na kupoteza uhai Oktoba 13 kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha ukanda wa Pwani.
Aidha wafungwa wanne wamejeruhiwa na radi hiyo na hivi sasa wako hospitali wakiendelea na matibabu. Wafungwa hao ni Richard Simau, Issa Haji, Hashim Rashid na Ismail Mtupa.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Rufiji, Onesmo Lyanga amesema gereza lililopata kadhia hiyo ni gereza la Wilaya linaloitwa Mng’aro lililoko Kibiti.
Kamanda amesema hakuna wafungwa wala mahabusu waliotoroka baada ya kupigwa na radi hiyo na ulinzi umeimarishwa zaidi.
Duuh kweli mchezo makini hatari sanaTayari msera hana kesi tena maana inaaminika amekufa.
Mchezo makini Sana huu
hahaahahahahahahhahaTayari msera hana kesi tena maana inaaminika amekufa.
Mchezo makini Sana huu
Umenichekesha. Inaaminika amekufa!Tayari msera hana kesi tena maana inaaminika amekufa.
Mchezo makini Sana huu
Ni siku gani utaacha ubaguzi? Hivi unadhani gereza la Kisongo lina wakina nani zaidi?
Twende Kisongo pale tukaone wafungwa gani ni wengiwala siyo mkoa ndo tabia zao
Hizi ni kati ya taarifa adimu sana kutolewa, kunawakati naweza kujitoa ufahamu nikapingana na taarifa hii- isije ikawa alipata ajali tofauti ya ndani kwa ndani, ni fikra tuuuuuuKwakuwa sikuhizi hakuna adhabu ya kunyongwa, basi mahabusu kachagua fungu lake analog stahili.