Rugby sevens ...2012 Wellington Sevens

afrodenzi

Platinum Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
18,150
Reaction score
9,255
ooohhh yes..
ningependa kusema team za Africa .. South Africa na Kenya ..
Kenya wameshinda kwenye pool yao na South Africa wameshinda kwenye pool yao...
Kwa sasa ni final New Zealand and Fiji...

Australia's Con Foley after their loss to Kenya.
 
Australia's Cameron Clark and Kenya's Leon Adongo in action.
 
Kenya's Collins Injera celebrates his try in their game against Australia.
 
New Zealand's Charles Piutau powers in for a try tackled in their game against England.
 
Frank Halai of New Zealand in action against France.
 
Hivi huu mchezo umeupenda pendaje bibie?

hahahahaha lol..
Huu mchezo huu we acha tu..
Hakuna mchezo ninao upenda duniani kama huu..
Hakuna lelemama mkuu kwenye huu mchezo..
 
The crowds during Kenya v Australia.
 
South Africa celebrate winning the Plate final against Tonga.
 
Humphrey Kayange of Kenya is tackled by Conor Trainor of Canada.
 
kweli kenya wapo juu..kampuni la ndegre linafadhili timu..sisi kampuni letu llinaongozwa na ma ggggggayyy tukiongea wanaenda bungeti kutaksa ja ifunge
 
New Zealand have won... NZ 24 Fiji 7
 
kweli kenya wapo juu..kampuni la ndegre linafadhili timu..sisi kampuni letu llinaongozwa na ma ggggggayyy tukiongea wanaenda bungeti kutaksa ja ifunge

umeongea cha maana sana saint I..
haawa team yao ya sevens wanalipwa over 3 million US..
sevens Kenya na dhani ni team ya tatu kwa ulipwaji bora..
 
Kenya wanashine anga za kimataifa siyo riadha siyo rugby wanatesa kweli. Tanzania we need lots and lots of soul seaching. What went wrong hadi tumefifia hivi. Once tulikuwa na mashujaa Filbert Bayi, Juma Ikangaa ,not anymore.
 
Sema pia unapenda jinsi wanaume wanavyo biringishana..

at least ni wanaume haswa...
we unaweza kubiringishana vile...

kw taarifa yako siangalii tuu wanaume..
naangalia kila mchezo wa rugby iwe wanawake au wanaume..
 
Kenya wanashine anga za kimataifa siyo riadha siyo rugby wanatesa kweli. Tanzania we need lots and lots of soul seaching. What went wrong hadi tumefifia hivi. Once tulikuwa na mashujaa Filbert Bayi, Juma Ikangaa ,not anymore.

duuhh sijui mkuu tumepotelea wapi..
Kenya wanaosha ile mbaya .. Halafu kitu kinachonivutia zaidi
ni pale wanleta mila zao ndani ya mchezo .. baada ya hiyo game kuisha
walikubebea mashuka , na kucheza katika ile mbaya kwa kweli utawapenda bure..
 
at least ni wanaume haswa...
we unaweza kubiringishana vile...

kw taarifa yako siangalii tuu wanaume..
naangalia kila mchezo wa rugby iwe wanawake au wanaume..

Yamekua hayo tena?
 
South Africa's Branco du Preez in action.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…