afrodenzi
Platinum Member
- Nov 1, 2010
- 18,150
- 9,255
- Thread starter
- #361
Tutadundana? Sasa we utaniweza?hahahaha...haya bwana!
Umeona jinsi France ilivyojikakamua? kudadadeki, sio ile timu ilifungwa na Tonga kabisa!
Vijamaa vilicheza southern hemisphere style in the first half.
Kesho njoo kucheki game pale mahali. Ni raha kweli. Sema bia bei mbaya...kwa hiyo njoo ukiwa tungi tayari...hahaha!
alafu dada mzuri vipi? Kapotea ghafla...lol!
mmmmhhhh Nlisha kweza nikuweze mara ngapi lol 🙂
hahah France dahh nimekosa hata la kusema juu yao kwa kweli..
Hata hivyo England hawakucheza hii world cup vizuri ...
dahhhh unadhani watafika Final ??
mmhh
mi nataka kuangali game hapa hapa bana ili niweke updates hapa
"LIVE" we njoo kipande hii bia bure hapa hahahah lol sjui labda
kama unaenda kule mahali baada ya game zote mbili ntakuja..
Ntakupa story za da mzuri baada.. ..
Yuko safi tu lakini .. Vipi utakuja rod trip na sisi??
ni wasichana wote kama hujali ku changia tent karibu..






