Rugby World Cup 2011.. LIVE

Sasa my predictions ni kuwa All Blacks will be the champions maana wale ambao nilikuwa nawategemea wametolewa so sad AD will meet later you have my consolation prize sasa sijui nihamie wapi we'll have to discuss this lol
 
Duh...SA wamechoka kweli! Lakini they controlled the game! Sasa game ya Sunday ni noma. Its worthy of the finals. Pale All Blacks wakikenua kenua kama leo wajue ni bao tu! Alafu wasimchezeshe SBW. Yule jamaa ni too risky na rugby league passes zake...lol
 
Vipi? Treatment ya Mils Muliaina kwenye hii World Cup umeionaje? Mimi naona kama vile wampiga chini vibaya, hasa kwa mtu aliyecheza 100 games for the ABs!
 
Vipi? Treatment ya Mils Muliaina kwenye hii World Cup umeionaje? Mimi naona kama vile wampiga chini vibaya, hasa kwa mtu aliyecheza 100 games for the ABs!

yeah hata mi binafsi sijapenda walivyo mfanyia kwa kweli yaani leo wameamua kutangaza kabisa hata cheza tena hii world cup..
daahhh ulimuona kwenye news leo .. jamaa alidondosha chozi.. Kwa kweli hajamtendea haki..
 
did you have to pic on SBW? He is an awesome player what are you talking about??

uzuri wamemleta Hosea gear mcheza mzuri sana lakini sjapenda walivyosema Stephen Donald atacheza ...hao wawili
wana wa replace Muliaina na Slade... is gonna be a realy tough game..
 
Sasa my predictions ni kuwa All Blacks will be the champions maana wale ambao nilikuwa nawategemea wametolewa so sad AD will meet later you have my consolation prize sasa sijui nihamie wapi we'll have to discuss this lol

hahahahahh lol
Bado tuna masimba mlangoni ( Wallabies)
Tusisherehekee mapema.. 🙂
 
yeah hata mi binafsi sijapenda walivyo mfanyia kwa kweli yaani leo wameamua kutangaza kabisa hata cheza tena hii world cup..
daahhh ulimuona kwenye news leo .. jamaa alidondosha chozi.. Kwa kweli hajamtendea haki..

Ngojea niicheki hapa! Jamaa wamembania kweli hii WC. He surely cld have played more games!
 
Game zimebaki mbili! Denzi kapotea. Hopefully atakuja kuweka picha hapa..lakini ngojea nijaribu kumsaidia!
 
Haya...Denzi kapotea! Ngojea nimalizie story sasa. ALL BLACKS WON....final score 8-7!
Dakika 20 za mwisho hakuna mtu alikuwa anapumua uwanja mzima!

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…