Chapakazi
JF-Expert Member
- Apr 19, 2009
- 2,874
- 316
Jumatano
Samoa VS Namibia ...
hili game linaanza ndani ya masaa mawili..
Namibia wakicheza kama walivyocheza game lililopita..
watapata scores nzuri.. wakiongeza juhudi kidogo kwenye
"defense" na backs wao wakicheaza vema wanachansi ya kushinda hili game...
sina shida na forwards wa Namibia wanafanya kazi nzuri sana....
ila bado Samoa tishio kidogo..
kwa ujumla wana team nzuri..
nta waletea updates game likianza ....
time table ya leo Jumatano..
Samoa VS Namibia
Tonga VS Canada
Scotland VS Georgia..
Hahaha...ulikuwa unasemaje? Mpaka sasa half-time Samoa 25-0 Namibia!
Ngojea na mi nipate bia bwana!lol









