Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha!!! Najua kwanini unataka Namibia watoke, ila mimi ninataka South Africa wapewe tough test na hawa Namibiahahahahah lol
yeah mechi inaanza ndani ya masaa mannne
ntafurahi sana kama Namibia wakiwa piga chini SA.. teh teh teh lol
nani atashinda leo ??
Hahaha!!! Najua kwanini unataka Namibia watoke, ila mimi ninataka South Africa wapewe tough test na hawa Namibia
em nipe details basi ...
twende chumbani niambie kila kitu 🙂
kweli nadhani SA wata wabamiza Namibia vibaaya..
even thou ningependa Namibia washinde ....lakini bana nawa support NAMIBIA 🙂
wakipata one try that's good .. wasipopata basi .. Hopefully watapata ..
Usishangae South Africa akifungwa leokweli nadhani SA wata wabamiza Namibia vibaaya..
even thou ningependa Namibia washinde ....lakini bana nawa support NAMIBIA 🙂
wakipata one try that's good .. wasipopata basi .. Hopefully watapata ..
Game of the week itakuwa 'Samoa v Fiji'! Sio hichi ki-game cha kilaza! Mtu anafungwa 65 kwa 10 leo. Utaniambia...lol!