Ruge achemsha: Fiesta yamdodea

Ruge achemsha: Fiesta yamdodea

mr gentleman

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
3,222
Reaction score
4,689
Ikiwa imebaki siku chache kufanyika tamasha kongwe la Fiesta,kumetokea kuzorota na kukosa msisimko kabisa kwa tamasha ili tofauti na miaka ya nyuma..ni kana kwamba Ruge mwaka huu ategemee maumivu makali sana kwa uchache wa maudhurio.

Hali hii sijui imetokana na nini,ni kukosa jipya(ubunifu)? wananchi kukinai? au tukio la Eatv kuwa pre empty kwa kutangaza vizuri show ya Psquaire.?

Labda kukosekana kwa msanii wa kimataifa wa kueleweka,maana wasanii toka nje wa safari hii ni utumbo mtupu sijui Davido,Jmartins, Allein yani ni bora wangemaimamisha Diamond kuwa main perfomer,pengine hii nayo imechangia.

Ila kwa kifupi Ruge na fiesta mwaka huu wamefulia mpaka noma sanaa!!

Tunasubiria Show ya Psquaire.
 
Mkuu alain utumbo tena.? Angalia vizuri kauli yako. Alain unamfananisha na Diamond.
 
Ikiwa imebaki siku chache kufanyika tamasha kongwe la Fiesta,kumetokea kuzorota na kukosa msisimko kabisa kwa tamasha ili tofauti na miaka ya nyuma..ni kana kwamba Ruge mwaka huu ategemee maumivu makali sana kwa uchache wa maudhurio...Hali hii sijui imetokana na nini,ni kukosa jipya(ubunifu)? wananchi kukinai? au tukio la Eatv kuwa pre empty kwa kutangaza vizuri show ya Psquaire.? labda kukosekana kwa msanii wa kimataifa wa kueleweka,maana wasanii toka nje wa safari hii ni utumbo mtupu sijui davido jmartins allein yani ni bora wangemaimamisha Diamond kuwa main perfomer,pengine hii nayo imechangia........
ila kwa kifupi ruge na fiesta mwaka huu wamefulia mpaka noma sanaa!!,,tunasubiria Show ya Psquaire..

Sasa wewe umekuaje limedorola wakati haijafanyika?,pia umesema kukosekana msanii wa kimaraifa,sasa huyo p square si ni nigeria sawa na hawa akina davida na jmartin?,au umetumwa?,maana hueleweki ati unataka kusema nini hapa
 
Mkuu alain utumbo tena.? Angalia vizuri kauli yako. Alain unamfananisha na Diamond.

sasa we uyo alain akisimama na Diamond au Nature nani anakalisha? au unashoboka tu kusikia mtu katoka Jamaica...ebu nambie 'heat' yake ambayo inaweza kumtoa mtu mbagala au tegeta kuja kumuona baada ya kujichanga sana..sijui kwanza kama unafahamu hadhira ya Fiesta..
fiesta imedoda!
 
mkuu. hakuna shamrashamra kabisa mtaani utafikiri fiesta ni mwezi ujao kumbe keshokutwa tu yani watu hawana kamasa kabisa..kwa wataalamu wa ishu za burudani tunaanza kuona kinachokuja,,,alafu usipende kukimbilia kusema umetumwa kama wewe umezoea kutumwa umu si wengine ni fikra huru...

P squaire usifananishe na wachovu hao,,ni level zingine..
fiesta imedoda.
 
sasa we uyo alain akisimama na Diamond au Nature nani anakalisha? au unashoboka tu kusikia mtu katoka Jamaica...ebu nambie 'heat' yake ambayo inaweza kumtoa mtu mbagala au tegeta kuja kumuona baada ya kujichanga sana..sijui kwanza kama unafahamu hadhira ya Fiesta..
fiesta imedoda!
mkuu umeongea vizuri..huyo jamaa anayebisha kama alain anakalishwa na diamond au nature atakuwa hana kumbukumbu au hajui kilichotokea wakati ule fiesta walimleta lil kim..awaulize watu waliokuwa backstage ndo atajua....kusaga na ruge baada ya kuona lil kim anashindwa kuamsha yowe walishauriana sir juma nature ukipenda muite Rambo akampe tafu lil kim,na kweli alichokifanya nature hadi leo clouds wanamuheshimu nature kwani yeye ndo aliyeteka show
 
Uyo jamaa hajui chochote kuhusu hii biashara ya shows..Anafikiri fiesta ni jukwaa kuwa na mataa mengi ndio mwisho..kwenye iyo list hakuna wa ku-rock crowd ya wabongo,wamechemsha safari hii..
 
Mkuu alain utumbo tena.? Angalia vizuri kauli yako. Alain unamfananisha na Diamond.

sasa we uyo alain akisimama na Diamond au Nature nani anakalisha? au unashoboka tu kusikia mtu katoka Jamaica...!

mkuu umeongea vizuri..huyo jamaa anayebisha kama alain anakalishwa na diamond au nature atakuwa hana kumbukumbu au hajui kilichotokea wakati ule fiesta walimleta lil kim

Jamani...anaitwa 'Alaine'....alain ndo nani!?
 
Hapa kila mtu anaongea kwa mapenzi yake binafsi. Ukweli unabaki palepale Alaine ni msanii mkubwa na huwezii ukamweka level sawa na Domo na Nature. Hata mm Nature na Domo nawakubali sana, Swala la kushangiliwa jukwaani sio inshu. Kwa sisi mashabiki wa Riddim Alaine tunampa Respect kubwa. Alafu tambueni Tanzania kimziki tupo nyuma. Hata siku wakiletwa Morgan Heritage wataonekana wa kawaida 7bu watu wengi sio wafuatiliaji wa Ridimms mbalimbali. Hivyo kosa la Clouds ni kuleta msanii ambaye mziki anaofanya haushabikiwi sana nchini Tanzania.
 
Mkuu alain utumbo tena.? Angalia vizuri kauli yako. Alain unamfananisha na Diamond.
kiuhalisia......kibongobongo....Alaine bado sana....ni ukweli usiopingika kitaani hana mvuto kivile.....Diamond anamfunika kabisa...
 
Hapa kila mtu anaongea kwa mapenzi yake binafsi. Ukweli unabaki palepale Alaine ni msanii mkubwa na huwezii ukamweka level sawa na Domo na Nature. Hata mm Nature na Domo nawakubali sana, Swala la kushangiliwa jukwaani sio inshu.

10/10...na huwezi mshindanisha Alaine Laughton na Domo au Nature kwenye jukwaa la Fiesta Bongo...tuwatupe O2 Arena London, wote sio kwao, halafu tuone nani atamkalisha mwenzie. Ni sawa na kuhoji kama Domo au Nature wanaweza mkalisha Alaine kwenye jukwaa ndani ya Kingston Jamaica.

Morgan Heritage ni hadithi nyingine baba...angalia concert zao walizofanya Ulaya (UK, Sweden, Belgium, Finland etc..) ni balaa, huwa wanajaza viwanja vya mipira wale! Ni moja kati ya wanamuziki ambao concert zao ni ghali..
 
Mkuu RIWA ndio maana nasema sisi Tanzania bado sana. Clouds walichokosea ni kumleta msanii ambaye mziki wake haukubariki sana nchini.. Morgan Heritage nawatambua mkuu. Hiyo Royal family mm naishabikia mwanzo mwisho. Sema kwa Tanzania ukiwaleta wasanii wa miondoko ya kijani, nyekundu, manjano nikama unatwanga maji kwenye kinu. Hapa wamezoea mziki wa upepo na unaopigwa kila siku kwenye vituo vyao vya redio. Wakiwekewa beat tu AZONTO AZONTO hao. Ndio maana hata siku wakija Royal family watasema hawaijui.
 
Hapa kila mtu anaongea kwa mapenzi yake binafsi. Ukweli unabaki palepale Alaine ni msanii mkubwa na huwezii ukamweka level sawa na Domo na Nature. Hata mm Nature na Domo nawakubali sana, Swala la kushangiliwa jukwaani sio inshu. Kwa sisi mashabiki wa Riddim Alaine tunampa Respect kubwa. Alafu tambueni Tanzania kimziki tupo nyuma. Hata siku wakiletwa Morgan Heritage wataonekana wa kawaida 7bu watu wengi sio wafuatiliaji wa Ridimms mbalimbali. Hivyo kosa la Clouds ni kuleta msanii ambaye mziki anaofanya haushabikiwi sana nchini Tanzania.

vyema kabisa,sababu lengo la tamasha sio kumtambulisha huyo msanii kwa hadhira ila ni kwa msanii mualikwa kuwapa raha mashabiki wake kwa ngoma kali kali na kuwaamsha vya kutosha 'mpaka washike adabu yao',basi ipo haja ya waandaaji kuwa na vichwa vikali kwa stage kama wazee wa ''PERSONALLY'' hivi na waungwana wengine!

kumleta Soleil Vanga(sijui hata kama unamfahamu mkuu) kwenye fiesta au tamasha lingine la ukubwa huo litakua kosa kubwa sana sababu hafamiki na watu japo anafanya vyema sana sasa miongoni mwa wanamuziki wa kizazi cha nne cha muziki huko CONGO DR!
 
10/10...na huwezi mshindanisha Alaine Laughton na Domo au Nature kwenye jukwaa la Fiesta Bongo...tuwatupe O2 Arena London, wote sio kwao, halafu tuone nani atamkalisha mwenzie. Ni sawa na kuhoji kama Domo au Nature wanaweza mkalisha Alaine kwenye jukwaa ndani ya Kingston Jamaica.

Morgan Heritage ni hadithi nyingine baba...angalia concert zao walizofanya Ulaya (UK, Sweden, Belgium, Finland etc..) ni balaa, huwa wanajaza viwanja vya mipira wale! Ni moja kati ya wanamuziki ambao concert zao ni ghali..

nadhani ishu hapa sio nani ni msanii mkubwa na wapi!naona suala hapa ni msanii husika kugusa hadhira husika kwa muzki wake,ambalo ni zao la vitu vingi kama asili ya mahala husika,asili ya muziki wake na vitu kama hivyo!

Lakini wewe muaandaaji ukawapeleka Morgan Heritage tamashani kigoma halafu na Diamond na Linex wakawepo,hao wageni watarajie aibu ya mwaka na ukubwa wao!
 
Back
Top Bottom