Ruge achemsha: Fiesta yamdodea


Kumbe Diamond huwa mnamkubali.mnajitoaga tu ufaham
 
Invisible nisaidie niweze kuupload nyimbo za Alaine humu watu wamjue anakalisha mbaya kabisa!!! Nyimbo ziko kwenye simu
 
Invisible nisaidie niweze kuupload nyimbo za Alaine humu watu wamjue anakalisha mbaya kabisa!!! Nyimbo ziko kwenye simu

mkuu show jumamosi unatuwekea nyimbo leo?tusikilize leo,tuipende leo,kisha jmosi tukapige shwangwe..!!uyo Allein hana mzk wa kuwaamsha wabongo lazima ukubali,na wala sio kwa sababu wabongo washamba au vp hana zile taste za wabongo..Ni sawa umdondoshe Boni Jovi leaders,kama watu wataenda basi wamefata muzik wa wabongo wenzao..
 
Binafsi i love Alaine na yupo kwenye playlist yangu but FIESTA ni tamasha la kibiashara lenye mlengo wa burudani....nadhani walikosa kumpata msanii mkubwa mmoja mwenye MVUTO na mashabiki wa kitanzania wakaamua kufidia kwa kuwaleta hawa wanne kwa mpigo......so,kama Alaine anajitosheleza hawakuwa na sababu ya kuwashusha akina Davido....wao wanajua these Artists wa mwaka huu ni wa kawaida but ndio hivyo....wamejaribu kufanya Damage Control....pamoja na yote,wanaweza bado wakapata watu wengi kwa kuwafanyia promo wasanii pendwa wa nyumbani watakaokinukisha.....
 
watu hawamchukii diamond tena tunajiskia fahari kupata kijana mchapakazi kama yeye ila tunakerwa na pumba zako unazopost humu jamvini!!

Unafiki huo
mala ngapi mnamponda humu na hata kumwita majina ya ajabu.
watanzania bana
 
inawezekana huyo Alaine ni msanii mkubwa lakini sio maarufu hapa bongo. mwenye nyimbo zake atuuploadie na sie tusiomfahamu tumsikie.
 
Mleta mada yaelekea unampenda sana Ruge aku......si bure. Au unafikiri kwa kutumia ma------ maana sidhani kama hii ni akili yako ya kawaida
 
..............RIHANA.......

sina maslahi na ruge ila mleta hoja yaelekea umetumwa sio bure.
 
huyo Alain ndio nani?! ni mwanaume au mwanamke?! embu 2wekeeni link ya nyimbo yake moja,ikiwezeka na picha kabisa na mimi nimjue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…