Ruge amzungumzia Jaydee, Ruby, Rama Dee, Diamond, THT, Fiesta na Muziki wa Bongo Fleva ndani ya XXL

Pale ambapo wale wali wa liwali walikula wali waliwao
 
Hivi ulishawahi kujiuliza miaka nenda rudi kwanini hajatokea mwingine mwenye kuwalipa wasanii vizuri, mwenye kuandaa show kubwa, mwenye kuibua vipaji kama yeye?
Jibu ni kwamba watu wanalalamika lakini wanamtegemea yeye huyo huyo.
Na huwezi waridhisha watu wote maishani, jamaa mfanya biashara kwa hiyo usitegemee atafanya kitu bure bure tu.
Ni free market wanaolalamika kwanini wasilete competetion ya kueleweka wakaandaa show wakawalipa wasanii vizuri wakakuza vipaji?
 
Kwa kweli kuhusu rama D,sifahamu chochote,ila kama alivyonukuliwa hapo juu inaonekana kuna tatizo ambalo hajaliweka wazi.
Rama dee ni kinega naye aliunga tela la sugu akidhani sugu anapigania maslai ya wasanii kumbe anadai maslai ya ela ya project ya malaria, alipoitwa kusuruhishwa wayamalize na ruge hakukumbuka hata kuwapa taarifa wenzake akawaacha na njaa mpaka wengine walienda omba msamaha clouds.
Toka hapo nilijifunza kitu kimoja, ukiona vita imeanzishwa usiunge tela bila kujua ni nini hasa aliyeanzisha anachopigania..
 
Ruge yuko smart na anajua kucheza na nyakati...anajua kutengeneza bifu kutengeneza hela.. anajua kukojikomba na kunyenyekea.inategemea nan yuko mbele yake!.ni opotunist!
 
Eti "umaharufu" ndo maana nakwambia unaakili za darasa lapili A ,kuandika tu tabu achilia mbali mashauzi yako hii kweli mwanaume kupumuliwa nayo ni kokoro
ha haaa haaa punguza jazba mkuu
 
Ruge yuko smart na anajua kucheza na nyakati...anajua kutengeneza bifu kutengeneza hela.. anajua kukojikomba na kunyenyekea.inategemea nan yuko mbele yake!.ni opotunist!
Ndio fursa zenyewe anazokwambia yani inabidi kujiongeza...
Mheshimiwa Makonda we humuona alivyokamatia fursa
 
Mkuu kwani hujaskiliza hayo mahojiano Ruge amesema hana bifu na jide walisha yamaliza ila anasubiri jide atoe kibali nyimbo zake zianze kuchezwe clouds
 
kumbe wasanii wanalipwa pesa nzuri tu fiestani!!... 5mil up to 6mil per show..... kumbe zile laki mbili zinazosemwa humu ni unafki wa wabaya wenu...hongera ruge kwa kuliweka wazi hilo leo.
 
Soko la mzik Tanzania lipo open kwa kila mwenye mtaji, jisajili Basata then anza kutafuta vipaji upige pesa. Suala la kulaumu Clouds wanabania wasanii wakati kuna redio station zaidi ya 20! Tatizo wabongo wivu umetujaa!!!!!!
 
Jamaa yuko poa tu labda hide ndo awe na shida, wamalize tu tofauti zao ,labda awe anaongea unafk kwenye radio
 
Alikuibia nini hebu tujuze kidogo
Kuibiwa sio lazima niwe niliibiwa mimi.

Ndio maana sio kila unachokijua kiliwahi kukutokea wewe mwenyewe.

Ndio maana hata demu akiitwa malaya hiyo haimaanishi kuwa wanaume wote mtaani kwenu waliwahi kupiga wengine walitoswa na huyo huyo.
 
No kweli alisema, no binadamu Ana hisia na hasira, ukijumlisha na kabila lake na jeuri ya ustaa, but wamalize tofauti zao tu maisha yaende
 
Huuu mwandiko wa mtt wa nursery
 
Aisee bora ameongea, nilikua namchukia bure tu, kumbe Jide ndo alipiga marufuku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…