Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,917
Jamaa anajua kujieleza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jazba ipo wap au basi tu umeamua na ww kuchangiaha haaa haaa punguza jazba mkuu
Jamaa yuko poa tu labda hide ndo awe na shida, wamalize tu tofauti zao ,labda awe anaongea unafk kwenye radio
If you are a man then MAN UP and if you are a Woman then WOMAN UP. Inshort GROW UP!rubbish, hii ndio umeona ya maana ya kuwaambia watu? Nani ana muda wa kusikiliza upuuzi? guy tupo busy tunatengeneza maisha yetu.
Sana kwa kweli na jide hana makuu huyu dada kabisadada wa watu anatia huruma sana
Wengi wa wanosema vibaya ni wa hapa JF, huko mtaani wala hamna shida, mkuu mimi huwa naamini kuwa ulimwengu wa hapa ni wa kipekee...Huyu jamaa huwa cjui kwa nn watu wanamsema vibaya naona ni mtu ambae ni anaongea vitu vyenye fact sema bac tu cjui ni hujuma za watu
Sasa unafikiri wa JF wanatoka sayari ya Mars au? Wa mtaani ndo hao hao wa JF.Wengi wa wanosema vibaya ni wa hapa JF, huko mtaani wala hamna shida, mkuu mimi huwa naamini kuwa ulimwengu wa hapa ni wa kipekee...
Tatizo wakiona wanapigwa bao kuanzisha vitu vipya wao wanaanza kulialia kwa RAIA, hakuna kutiatia huruma afanye mambo yake kama fiesta basi mbona hawamsumbuivp ile studio wameshawarudishia wasanii maana wao ndio walijifanya basata, kama nyimbo hazina maadili kwanini basata wasizifungie au anafikiri kama tv yao inayopromoti mambo ya ushoga
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nampenda sana Ruge,anajua kutumia nafasi,siyo yule wa darasa la saba analialia tu kwenye facebook,shule nayo inasaidia jamani