Ruge amzungumzia Jaydee, Ruby, Rama Dee, Diamond, THT, Fiesta na Muziki wa Bongo Fleva ndani ya XXL

Ruge kaongea lugha ya kibiashara tupu anajua kucheza na Media ili kutengeneza ustawi wake kibiashara

Mtu kama yeye hawezi kusema ana bifu na msanii fulani hata kama ilo bifu lipo
 
Jamaa yuko poa tu labda hide ndo awe na shida, wamalize tu tofauti zao ,labda awe anaongea unafk kwenye radio

Sidhani kama anaongea unafki kwa kuwa na wao clouuds wameshachoka kusemwa vibaya,nakumbuka hata Kusaga alishazungumza kauli kama hiyo walipokuwa wakikabidhiwa cheti cha superbrand na muda mfupi baadae wakayasuluhisha na sugu.Clouds wako poa hawana tatizo na watu kama inavyovyumishwa ,tatizo lipo kwetu sisi huku mtaani ndio tunaovumisha mambo.
 
Watanzania wanafiki kiukweli mmenishinda tabia...huyu Ruge leo kawa mzuri kwa uzuri gani
 
rubbish, hii ndio umeona ya maana ya kuwaambia watu? Nani ana muda wa kusikiliza upuuzi? guy tupo busy tunatengeneza maisha yetu.
If you are a man then MAN UP and if you are a Woman then WOMAN UP. Inshort GROW UP!
 
Ruge yuko very SMART ni vigumu sana kwa watanzania waliojaa ushabiki kumuelewa.hata jide na ruby na wasanii wengine wanaweza wasimuekewe...
 
Hawa watu sio wa kuwaamini kwa kuwasikiliza tu. Hata Ommy jana alikuwa anajifanya ana nidhamu sana lkn ukiwakuta kwenye anga zao ni wananata balaa. Hivyo hivyo kwa Rugemalila akiwa kwenye line yake na kuwafokea hao watangazaji na kuwapiga biti wasipige wimbo wa mtu huwezi amini na anavyoongea kwa upole.
 
Huyu jamaa huwa cjui kwa nn watu wanamsema vibaya naona ni mtu ambae ni anaongea vitu vyenye fact sema bac tu cjui ni hujuma za watu
 
Huyu jamaa huwa cjui kwa nn watu wanamsema vibaya naona ni mtu ambae ni anaongea vitu vyenye fact sema bac tu cjui ni hujuma za watu
Wengi wa wanosema vibaya ni wa hapa JF, huko mtaani wala hamna shida, mkuu mimi huwa naamini kuwa ulimwengu wa hapa ni wa kipekee...
 
Waisimamie wao basata ikiwa vp wapewe wao basataaaa

OVA
 
vp ile studio wameshawarudishia wasanii maana wao ndio walijifanya basata, kama nyimbo hazina maadili kwanini basata wasizifungie au anafikiri kama tv yao inayopromoti mambo ya ushoga
 
vp ile studio wameshawarudishia wasanii maana wao ndio walijifanya basata, kama nyimbo hazina maadili kwanini basata wasizifungie au anafikiri kama tv yao inayopromoti mambo ya ushoga
Tatizo wakiona wanapigwa bao kuanzisha vitu vipya wao wanaanza kulialia kwa RAIA, hakuna kutiatia huruma afanye mambo yake kama fiesta basi mbona hawamsumbui
 
heheh ....Watu hamumjui Rug.e mme mskiliza tu hapo na sauti yake ya maigizo tayar mmeishalowana..Huyu jamaa ni mnafki saana akiwa mbele ya media tena mnafki saaaana zaid ya ukifiriavyo.. Itoshe kusema hayo machache saaana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…