Ruge aonyesha jeuri ya kutopigwa bongo fleva

Ruge aonyesha jeuri ya kutopigwa bongo fleva

herrypeter1

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2009
Posts
223
Reaction score
30
The BOSS ni the Boss Ruge mutaahaba ameonyesha yeye kuwa ni The Boss wa CLOUDA ANALOHAMUA AWEZI MTU KUPINGA, KWA MDA WA MASAA ISHIRINI NA NNE AMNA BONGO FLEVA KUPIGWA HAKIKA HII AMEONYESHA KUWA REDIO YAKE INAWEZA KUWEPO BILA BONGO FLEVA.



KAZI KWENU WANA BONGO FLEVA
 
hunazani anayehumia ni nani kama si yeye na wale watoto wa THT ANAO WASHIKA NYONYO KINEGA MKUBWA YULE.
 
Anajishau tu...asipige mwak mzima aone kam ana jeur hiyo..na hiyo misukule yake apo xxl inashabikia ujinga wa mbwa wao..huko ni kutojiekew sas mmeelew jide alichokuw akikisema?,mtu na elimu yake(kama anayo lakini) hawez kufany maamuz ya kijinga kama aliyoyafany leo..kutokan na naneno yake ya leo nimeamn kabis alichokuw akikisema jide
 
Sasa kutopiga bongo music ndio anamkomoa nani. Kweli bora unyimwe Mali upate akili !!!'
 
Back
Top Bottom