Ruge atimiza miaka 49, happy birthday Mdau

Ruge atimiza miaka 49, happy birthday Mdau

Wabinafsi kweli. Kuna mbaba ana kama 60yrs anakaa mitaa ya kwenu kama Rainbow kwa chini. Yule baba kilio chake kikubwa ni ndoa. Ana maisha akitaka mwanamke yeyote anampata ila haoni aoe nani. Anaishia kuwatia anaacha ila akikaa ni ndoa ndoa tu
Ahahaa waongo sana hao.wanawaza vijiasset vyao tu .wanadhani watu wanapenda vitu vyao.ni ngumu kupata muhenga mkapanga maisha.atakutomba tu.viserengeti japo vihuni ninaoa sana
 
Ahahaa waongo sana hao.wanawaza vijiasset vyao tu .wanadhani watu wanapenda vitu vyao.ni ngumu kupata muhenga mkapanga maisha.atakutomba tu.viserengeti japo vihuni ninaoa sana
Kweli vinajitahidi hi underage vyetu [emoji23][emoji23]
 
Kweli vinajitahidi hi underage vyetu [emoji23][emoji23]
Unakuta dogo ana miaka 25 wewe una 35 .anakudai umuoneshe kwenu apeleke mahari.unamuuliza dogo mama yako utamuambia Mimi nani? Ahahaa vina confidence balaa kuna shosti wangu ana miaka 42 kaolewa juzi na dogo wa miaka 28. Mi nitakomaa na wahenga tu kwa kweli ahahaaa
 
Ila kuolewa na mtu umemzidi hata 5yrs ni ujasiri. Bora 2yrs kidogo.
 
Ni umafia.kuna dogo alisoma na mdogo wangu namzidi miaka minne .anataka ndoa balaa.naanzaje? Nikamwambia hapana .ndoa inaenda hivi hvi naiona Ila sio mbaya nitakufa na tai shingoni
Labda hujampenda tu
 
Jemedali hupigana vita kitandani na mara nyingi na jinsia tofauti na yake, silaha yake hutengenezwa na Mungu, jemedari hupigana vita nje huko na silaha zake hutengenezwa na binadamu,[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hiyo ndiyo totauti mkuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jemedali hupigana vita kitandani na mara nyingi na jinsia tofauti na yake, silaha yake hutengenezwa na Mungu, jemedari hupigana vita nje huko na silaha zake hutengenezwa na binadamu,[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hiyo ndiyo totauti mkuu.
😀😀😀😀😀😀😀😀 Dah, mkuu haupo serious asee
 
Ruge kila mwaka anatimiza 49 yrs yaani huu usanii mwambien aache huu ni mwaka wa 4 anasherekea kutimiza miaka 49 yrs yaan Ruge kila mwaka anatimizaga miaka 49 yrs.
 
Aisee mdaubhuyu muhimu wa Bingo fleva ametimiza miaka 49, tumtakie heri ya kuzaliwa jemedali huyu
Huyu mtu mimi huwa namuona bwana mdogo tu fulani hivi, nikawa nadhani kuwa watu wanamheshimu tu kutokana na anavyojiheshimu, na si kwa sababu ya umri, lakini kumbe ni mtu mzima, hata mimi ananizidi umri. Ana umbile zuri sana, lakini anaonekana bwana mdogo tu kwa macho!
 
Back
Top Bottom