Ruge azindua shughuli za Clouds FM Dodoma

Jospina

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
2,421
Reaction score
1,395
JANA RAGE ALIKUWA AKIZINDUA MSIMU MPYA WA CLOUDS FM, NA ILIONEKANA DHAIRI ALIYOYASEMA JAY DEE ETI RUGE NI MNYONYAJI ILIONEKANA NI UWONGO BAADA YA WASANII LUKUKI KUMUUNGA MKONO RUGE KATIKA PROGRAME YAKE HUKU UMATI WA WATU UKIJAA UWANJANI NA KUDHIIRISHA CLOUDS FM NI REDIO YA WATU NA KELELE ZA JAY DEE HAZIJANYIKIWA. PICHANI NI BAADHI YA AWASANII MBALIMBALI WAKIIMBA mbele ya maelfu ya watu waliofika kwenye uwanja wa Jamuhuri jioni ya jana wakati wa kituo cha redio ya Clouds FM ilipokuwa ikizindua msimu wake mpya kwa wasikilizaji wake, uzinduzi huo ulikwenda sambamba na kufanyika kwa semina ya fursa kwa Watanzania.
Aidha msimu huo umekwenda sambamba na kaulimbiu inayofuatia harakati za MADE IN TANZANIA, ambapo msukumo wake ni kuwashawishi Watanzania kuanza kuzifanyia kazi fursa hizo kwa umoja wa maendeleo ,huku neno TWENZETU likitumika kama neno rasmi la mawasiliano.Kama vile haitoshi uzinduzi huo utabeba harakati rasmi za vita dhidi ya Uharamia wa kazi za wasanii,Wabunifu na wavumbuzi mbalimbali.
Leo Jumapili kutakuwepo na matembezi ya kampeni ya kupinga uharamia wa kazi za sanii yatakayoanzia uwanja wa Jamuhuri mapema asubuhi na kupokelewa na Waziri Mkuu Mh. Pinda.

 

Attachments

  • NEY DOM.jpg
    21 KB · Views: 2,709
  • SNURA.jpg
    23 KB · Views: 2,457
  • NYOMI.jpg
    64.6 KB · Views: 2,376
Hivi mfupa ulomshinda Sugu, Jike Dume atauweza? Kapokelewa kijiti kabla hajajiandaa ndo Mikele yoootteee.Radio ya Watu kwa Ajili ya watu, Kama Fiesta iliwezekana Mbeya kwa Sugu itashindikana wapi sasa?
 
Hivi mfupa ulomshinda Sugu, Jike Dume atauweza? Kapokelewa kijiti kabla hajajiandaa ndo Mikele yoootteee.Radio ya Watu kwa Ajili ya watu, Kama Fiesta iliwezekana Mbeya kwa Sugu itashindikana wapi sasa?

hahaa tena ile ya mbeya ndo ilivunja rekodi...eti sugu aliweka show yake the same day na fiesta. mbona alijuta! clouds kiukweli wapo juu na wanajua nini maana ya show
 
I dont support walichofanya kwa jay dee lakini kwa wanachokifanya clouds dodoma..its undenayably positive....big up team clouds..
 
THE boss bado anamfukuza kichaa aweza pata nguo zake?
 
I dont support walichofanya kwa jay dee lakini kwa wanachokifanya clouds dodoma..its undenayably positive....big up team clouds..

ni kweli mkuu, jamaa jana wamefanya kitu positive sana
 
Endelea kumtumikia kafiri upate mtaji wako. Jana ulijifanya unawashauri kwa kuandika maelezo meeengi

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Sikujuwa kama kuna watu humu mpo kazini na wala hamna tofauti yoyote na wale vibaruwa wa Lumumba wanaolipwa per post.

Ruge bado hana gutts za kujifanya eti anaendesha harakati za kupinga uharamia wakati yeye pia ni haramia mkubwa.

Wasanii bado hawajitambui na wataendelea kutumiwa kama Condom mpaka pale watakapojitambuwa.
 
Hivi wasanii wa Bongo siku hizi hii ndio fashion ya kupagaisha watu?

 
stup guys thnk stupd thngs...sor moderators kwa neno kali..hivi hao kna kashaga kwa hongo walizolpwa ndio wanawahadaa watanzania ni mtanzania gani asiyejua uzandiki wa ruge na clouds mpaka mmekuja kujipendekeza JF Jide kawashka pabaya mnafkri kupeleka maandamano kwa viongoz ndio mnawafurahsha watz waliochoshwa na sera mbovu znazowafanya wasanii wa tanzania kubak maskin wa kutupwa wakat akna Josee chameleon, BEBE COOL, juliana, Watoto wadogo kina Radio na wizo apa Uganda na kna mzee wa kgeugeu,prezoo,nonin,jua kali, kule kenya wanajenga magorofa na kununua harmer na vogue kila sku mpaka wanasema ni nan aliyeilaani wasanii watanzania na bila kumumunya maneno huwa nawambi ni clouds na vbaraka wao wachche kama nyie mnaosuport unyonyaji na hao wanaowaonga ili kuwaombea pnda aingie mkenge na kupokea maandamano ya wanyonyaji wakubwa wa watanzania wakat wenyewe ndio wanaolia na ajra akna ruge wanazozizua kila kukcha....GO TO HELL RUGE, CLOUDS AND YOUR PUPPERTS Nitahamasisha wabunge wa upnzani kuimalza hii radio
 
akina ney wa mitego na wenzao si wavuta bang huon walivyokaa uchi mnawalpa elfu hamsin wakkataa mnawabania matangazo ya nymbo kwa sababu ya ukanjanja wao wa kumuabudu ruge na clouds yenu chafu...Jide na wachache waliojtambua wamekataa huo un yonyaji...go to hell clouds
 
stup guys thnk stupd thngs...sor moderators kwa neno kali..hivi hao kna kashaga kwa hongo walizolpwa ndio wanawahadaa watanzania ni mtanzania gani asiyejua uzandiki wa ruge na clouds mpaka mmekuja kujipendekeza JF Jide kawashka pabaya mnafkri kupeleka maandamano kwa viongoz ndio mnawafurahsha watz waliochoshwa na sera mbovu znazowafanya wasanii wa tanzania kubak maskin wa kutupwa wakat akna Josee chameleon, BEBE COOL, juliana, Watoto wadogo kina Radio na wizo apa Uganda na kna mzee wa kgeugeu,prezoo,nonin,jua kali, kule kenya wanajenga magorofa na kununua harmer na vogue kila sku mpaka wanasema ni nan aliyeilaani wasanii watanzania na bila kumumunya maneno huwa nawambia ni clouds na vbaraka wao wachche kama nyie mnaosuport unyonyaji na hao wanaowaonga ili kuwaombea pnda aingie mkenge na kupokea maandamano ya wanyonyaji wakubwa wa watanzania wakat wenyewe ndio wanaolia na ajra akna ruge wanazozizua kila kukcha....GO TO HELL RUGE, CLOUDS AND YOUR PUPPERTS Nitahamasisha wabunge wa upnzani kuimalza hii radio
 
stup guys thnk stupd thngs...sor moderators kwa neno kali..hivi hao kna kashaga kwa hongo walizolpwa ndio wanawahadaa watanzania ni mtanzania gani asiyejua uzandiki wa ruge na clouds mpaka mmekuja kujipendekeza JF Jide kawashka pabaya mnafkri kupeleka maandamano kwa viongoz ndio mnawafurahsha watz waliochoshwa na sera mbovu znazowafanya wasanii wa tanzania kubak maskin wa kutupwa wakat akna Josee chameleon, BEBE COOL, juliana, Watoto wadogo kina Radio na wizo apa Uganda na kna mzee wa kgeugeu,prezoo,nonin,jua kali, kule kenya wanajenga magorofa na kununua harmer na vogue kila sku mpaka wanasema ni nan aliyeilaani wasanii watanzania na bila kumumunya maneno huwa nawambia ni clouds na vbaraka wao wachche kama nyie mnaosuport unyonyaji na hao wanaowaonga ili kuwaombea pnda aingie mkenge na kupokea maandamano ya wanyonyaji wakubwa wa watanzania wakat wenyewe ndio wanaolia na ajra akna ruge wanazoziua kila kukcha....GO TO HELL RUGE, CLOUDS AND YOUR PUPPERTS Nitahamasisha wabunge wa upnzani kuimalza hii radio .....go go go go to hell clouds radio ya mtu​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…